Position ya DM ni Rice tu basi, anaweza kucheza karibu kila mfumo, ataturuhusu kutumia 433 bila wasiwasi. Neves ni mzuri ila siyo kucheza kama lone DM, huyo Camavinga siyo typical DM halafu akija anabidi alelewe tena huo muda hatuna, hatuhitaji tena msimu mmoja au miwili ili DM akomae zaidi tunahitaji mchezaji wa kuja kuingia kikosi cha kwanza moja kwa moja. Rice ni option nzuri since anaweza kucheza kama CB pia.