Alex Tuanzebe
Aaron Wan Bissaka
Brandon Williams
Nemanja Matic
Daniel James
Jesse Lingard
Andreas Pereira
Mason Greenwood
Juan Mata
Hao ni baadhi ya wachezaji wenu walio tungulia leo goli 4 na QPR. ikumbukwe kuwa hao wachezaji baadhi huanza kwenye 1st eleven.
Kuna NYUMBU zitakuja kusema ni mazoezi kwahiyo matokeo hayana umuhimu, jamani ata kama ni mazoezi ndio mfugwe goli 4 tena QPR.!!!?
Tena goli 3 unafugwa ndani ya dakika 6 kweli, hapa hamna timu.
Hongera sana OLE naona unaendeleza pale ulipo ishia kwa Villarreal.