Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii inshu ya pogba kutotakiwa na mashabiki wa psg imekaaje kaaje
Pogba hapo nyuma aliwahi kunukuliwa "Mama yangu haipendi PSG kwasababu ni shabiki mkubwa wa Marseille"

Sasa mashabiki mabango yamesomeka yakipinga club ya psg kumsajili pogba Kwasababu hio
 
Varane ataongeza kitu kikubwa sana sana kama akija.. nitamuona Ole ana Akili akiwatoa kina Tuanzabe, Mengi, Fish kwa mkopo kwanza, tuwe na Baily, Lindelof, Varane, Maguire..

Seriously tunaumiss sana ubora wa Martial.. Hakuwa tu na msimu bora ulioisha ila ni kati ya wachezaji bora sana akiwa kwenye ubora wake I hope atarudi fresh this season..

Ujio wa Sancho utamuimarisha sana AWB, huku Greenwood akitokea benchi (Japo dogo ni versatile anaweza kucheza mbele kama striker). Uzoefu wa Cavani pia ni mzuri kwa team..

Tusisahau na kiungo pia we need additional ya kuwapa pressure Freddy, Mcsauce, DVB, Pogba (Kama akibaki). Camavinga mzuri namrate zaidi ya Goretzka kwa kuwa ni majeruhi hana consinstency sana..

Anyway Ole anasogea na anajenga team pia, mabadiliko yanaonekana. Asisahau makipa wamekuwa wengi sana japo Lomero anaondoka ila Lee Grant, De Gea, Henderson, Heaton ni wengi sana, japo nadhani Grant anatusaidia ktk ukocha wa makipa ana experience kubwa sana.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wazee link fanyeni yenu, tuna game na QPR

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app

nataka kujaribu hizo ila kama zitakataa itanilazimu nimtafute maestro Chief-Mkwawa
 
Najaribu kuwaza kwa sauti,kwanini wasingesubiri walau Ole acheze mechi 20-25 za msimu ujao ndio wafikirie kumpa mkataba mpya baada ya kuona uelekeo wa timu chini yake?
Kulikuwa na timu zinafukuzia saini yake hadi tufanye kwa haraka hivyo hili suala la Ole?
Au ndio tumeamua mitatu tena ya kuishi kwa wasiwasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…