Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana niliona taarifa Twitter kwenye ukurasa wa United we Stand ikisema kuwa United wamekubaliana na Atletico kumnunua Trippier kwa Euro Milion 20.
Mwingereza huyu tena, Waingereza siyo wa kuaminika, hawajui. Watueletee Chiesa, waachane na Sancho na hao blaa laa wengine
 
Mwingereza huyu tena, Waingereza siyo wa kuaminika, hawajui. Watueletee Chiesa, waachane na Sancho na hao blaa laa wengine
Tupe stats za Chiesa na Sancho msimu huu kaka.......

Kwasababu Chiesa amewika Euro basi tumnunue chiesa kweli? Mbona Juve hana balaa lolote? Anastats za kawaida sana......
 
Naomba kutajiwa wachezaji watano waliotoka ligi kuu ya Ufaransa walioendelea kuonyesha kiwango bora ndani ya premier league
  1. Fabinho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…