The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Trippier yuko vzr kuliko bissaka.Huyu Veteran atakuwa na msaada wowote kwenye rebuild yetu ?
Hasa ukizingatia Diogo Dalot amerejea kikosini pamoja na Wan Bissaka, na Brandon William hajaondolewa
Sawa mkuu asante kwa masahihishoInaitwa Atalanta.
Hata mimi sijasema Bissaka ni bora kuliko TrippierTrippier yuko vzr kuliko bissaka.
Yaani mkuu umtoe dalot umwache beily?Jesse Lingard nilitegemea tuwe tushamuuza na kuvuta chetu..utashangaa tunamtoa tena kwa mkopo..what the hell is going on..timu hazina mpunga au nini?..hawa wachezaji wetu hata kwa mafungu hawauziki?.
✓Perreira
✓Dalot***
✓Lingard
✓Tuanzebe
✓Chong
✓Jones
✓James
Hawa inabidi waondoke completely maana future yao hapa United haipo kabisa as things stends..Labla kidogo Dalot.
Kwa sasa anatakiwa DM wa nguvu ili kuachana na mfumo wa zamani 4-2 -3-1Wakuu kwann tusimchukue Charlie Adam, naona midifildi inapwaya sana, Pasi kamasi nyingi sana.
It's friendly match.Leo kwa derby tutatoboa?
Sijui kwa nn watu wanam underrate huyu jamaa,kwangu mm naona Ni mchezaji aliefanya Bora Sana kwenye nafasi yake na katika kiwango kile kile, amekuwa akijituma muda wote,licha ya kukaba lakini amesaidia Sana kwenye mashambulizi,cross nyingi..Sijasema kuwa amefeli kutupa tunachokitaka ila kwa uchezaji upande wetu wa kulia utaendelea kuwa wa kawaida sana bila modern fullback labda Bissaka abadilike sana msimu huu.
Hope umeona hata Southgate amemwacha kwa sababu ya mapungufu yake hayo.
Katika kikosi cha Sir Alex Ferguson aliwahi kuwa na mabeki wa kulia watatu.Sijui kwa nn watu wanam underrate huyu jamaa,kwangu mm naona Ni mchezaji aliefanya Bora Sana kwenye nafasi yake na katika kiwango kile kile, amekuwa akijituma muda wote,licha ya kukaba lakini amesaidia Sana kwenye mashambulizi,cross nyingi..
Kwangu mm bissaka anastahili kuwepo kwenye 1st 11 ya man u
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Unaweza kucheza 4-3-3 na bado ikawa ni kupaki tu basi..4-3-3 doesn't necessarily mean attack attack attack.Tunapaswa tuingie na 4-3-3 msimu huu..
Attaking zaidi.
Tukimpata varane ni hatari sana.
4-3-3 ni lazima ushambulie mkuu, DM 1 viungo wa kushambulia 2 mbele,, wings zote pembeni na striker wa nguvu..Unaweza kucheza 4-3-3 na bado ikawa ni kupaki tu basi..4-3-3 doesn't necessarily mean attack attack attack.
Yule jamaa namkubali sna,,,anajuwa kuazisha mashambulizi..Wakuu,,,,! Varane anakuja,,,! Ni suala la muda tu
Ingia hapo Derby County vs Manchester United - HesGoal.Com Sports NewsWakuu kama mtu ana link, tupia hapa tuangalie game yetu na Derby
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app