Exactly..Pogba inabidi aondoke tu kwa sasa kama ameichoka United..tujipange tusajili hapo katikati tupate balance nzuri.Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.
Kwa maandalizi yetu sioni tukifanya makubwa sana msimu ujao hivyo tungeandaa wachezaji kuliko kumkumbatia labile ambaye haonekani kututaka tena.
Hivi Sergej Millinkovic Savic aliishia wapi ?Paul pogba anatarajiwa kutangaza uamuzi wake juu ya mustakabali wake wa kisoka wiki hii.
lazio walihitaji fedha nyingi sana kwa timu itakayomuhitaji, kuhusu kiwango chake cha soka kwa sasa kiukweli sifahamu.Hivi Sergej Millinkovic Savic aliishia wapi ?
Aondoke.Paul pogba anatarajiwa kutangaza uamuzi wake juu ya mustakabali wa kisoka wiki hii.
Hata cc United tumemchoka zaidi ya yeye alivyotuchoka sema kocha tu anamuelewa.Exactly..Pogba inabidi aondoke tu kwa sasa kama ameichoka United..tujipange tusajili hapo katikati tupate balance nzuri.
kwa muda mrefu tumekuwa tukishusha shutuma dhidi ya paul ya kwamba anacheza chini ya kiwango tunachokishuhudia akiwemo sehemu nyengine mfano france au juventus. hata chini ya Ole tumeshashuhudia paul pogba akihamishiwa position tatu tofauti lakini bado jina lake halijakaa ndani ya mioyo yetu kwa sababu ya kiwango chake kisichotabirika.Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.
Kwa maandalizi yetu sioni tukifanya makubwa sana msimu ujao hivyo tungeandaa wachezaji kuliko kumkumbatia labile ambaye haonekani kututaka tena.
lakini klabu bado inamuona paul ni mchezaji sahihi anayepaswa kuwepo.Aondoke.
1. Marcelo Sabitzer.kwa muda mrefu tumekuwa tukishusha shutuma dhidi ya paul ya kwamba anacheza chini ya kiwango tunachokishuhudia akiwemo sehemu nyengine mfano france au juventus. hata chini ya Ole tumeshashuhudia paul pogba akihamishiwa position tatu tofauti lakini bado jina lake halijakaa ndani ya mioyo yetu kwa sababu ya kiwango chake kisichotabirika.
kufuatia tetesi za kuondoka kwake je ni mchezaji yupi unayemfahamu unadhani anaweza kuziba nafasi kwa usahihi zaidi yake?
Mkuu yani hao ndio wawe warithi wa Pogba? Mbona umeweka wachezaji wa kawaida sana na hapo unaweza kuta wote wameflop....they dont offer hata nusu ya anachotoa Pogba1. Marcelo Sabitzer.
2. Dominic Szoboszlai
3. Joao Palhinha.
4. Marco's Llolente
1. Marcelo Sabitzer.
2. Dominic Szoboszlai
3. Joao Palhinha.
4. Marco's Llolente
nimeona hapa kwenye mtandao ameshaweka nyavuni, ngoja nijisogeze kwenye televisheniHuyu Shaw anacheza kwa kiwango kikubwa sana wakuu.
Marcel Sabitzer ndiyo engine ya RB Liepzig.tukumbuke tuna tatizo kubwa la ubunifu kuanzia chini kwenda pale mbele (kila siku tunawalaumu mcfred)
- namba 3 na 4 sidhani kama wanalingana na paul ila nitajiridhisha kwa kuwafuatilia zaidi,
- 1 na 2 sijawafuatilia
kwa mukhtadha huo naweza kumbadilisha paul pogba dhidi ya marco verratti huku nikifuatilia situation ya barcelona ilio na wakati mgumu zaidi kifedha, wakifilisika namchukua frank de jong
teh teh teh
Mimi nimetaja hao ninao waona wanaweza kuwa mbadala wake Paul.Mkuu yani hao ndio wawe warithi wa Pogba? Mbona umeweka wachezaji wa kawaida sana na hapo unaweza kuta wote wameflop....they dont offer hata nusu ya anachotoa Pogba
Katupia goliHuyu Shaw anacheza kwa kiwango kikubwa sana wakuu.