Ndugu blunder anazofanya Harry huku United huwa zinakera sana aisee, huwa hachukiwi bure tu!Mbona vilevile tu mzee..
Yaani shida ni kuwa kuna wachezaji personally tunawachukia when United is concerned.
Huku kwetu kuna tatizo la kutojua namna ya kuwatumia wachezaji kulingana na uwezo walionao. Mimi huwa Naamini kama tungekuwa na kocha mwenye mbinu nzuri kiuchezaji na mchezo Wa kuvutia basi hata akina VDB wasingeonekana kama wameshindwa kucheza Man UAnacheza vzr akiwa national team, ss sijui huku kwetu kuna nini.
Nachotaka kusema hapa ni kuwa Maguire plus hizo blander bado ni beki mzuri mkuu,tunamtukana kwa hasira tu na sio lolote..tukifanya analysis vizuri tutaona kuwa wanaomsaidia pia kuna level hawajafika..Lindelof+Bailly bado mkuu..Tunahitaji mtu wa kucheza na Maguire.Ndugu blunder anazofanya Harry huku United huwa zinakera sana aisee, huwa hachukiwi bure tu!
Sahihi!Nachotaka kusema hapa ni kuwa Maguire plus hizo blander bado ni beki mzuri mkuu,tunamtukana kwa hasira tu na sio lolote..tukifanya analysis vizuri tutaona kuwa wanaomsaidia pia kuna level hawajafika..Lindelof+Bailly bado mkuu..Tunahitaji mtu wa kucheza na Maguire.
Timu nzima ya United haichezi vizuri muda mwingi huwa hatuna mpira hivyo defence inakuwa kwenye pressure muda wote.Anacheza vzr akiwa national team, ss sijui huku kwetu kuna nini.
True..japo kuna media exegarration lakini wana wachezaji wenye vipaji ambao wanaweza kuwapa lolote duniani as of now.Uingereza ina golden generation isiyosemwa! Japo kocha wao huwa namuona ni kama anategemea uwezo binafsi Wa wachezaji kuliko mipango yake
No anakuwa kwenye pressure kubwa zaidi kwa sababu timu haina ushirikiano mzuri kila mmoja anacheza kivyakeNdugu blunder anazofanya Harry huku United huwa zinakera sana aisee, huwa hachukiwi bure tu!
Mkuu mbona anakuwa akifanya makosa ya kuonekana kwa macho kabisa,au apimwe kwa tackles na interceptions nyingi wakati nyavu zinafumuliwa tuHata kwetu anacheza vizuri, bahati mbaya hatutaki kuona
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kocha yuko vzr mkuu, tazama jinsi anavyowatumia wachezaji na jinc anavyofanya sub zake, cku ile kocha wa Denmark alimaliza sub zote wkt Southgate silaha zake kibao zilikuwa nje na alikuwa kafanya sub moja tu.Uingereza ina golden generation isiyosemwa! Japo kocha wao huwa namuona ni kama anategemea uwezo binafsi Wa wachezaji kuliko mipango yake
Apimwe kwa tackles alizochezaMkuu mbona anakuwa akifanya makosa ya kuonekana kwa macho kabisa,au apimwe kwa tackles na interceptions nyingi wakati nyavu zinafumuliwa tu
Basi nadhani tatizo la united mwisho wa siku linarudi kuwa la OLE na udhaifu wake kiufundi.Apimwe kwa tackles alizocheza
Apimwe kwa interception alizofanya
Apimwe kwa aerial due alizo win
Apimwe kwa dribbling kuanzisha mashambulizi (mabeki wa kisasa)
Apimwe kwa pass alizopiga zilizofika (mabeki wa kisasa)
Apimwe kwa mechi alizocheza (kuwa fiti)
Katika vyote hivyo yupo top 5 kwa mabeki wa kati duniani,
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hapa shida ni kocha au sio?Timu nzima ya United haichezi vizuri muda mwingi huwa hatuna mpira hivyo defence inakuwa kwenye pressure muda wote.
Lakini kiujumla timu yetu haichezi vizuri uwanjani
Yes; timu yetu probably kwa timu kubwa za Europe ndiyo inaweza kuwa the poorly coached team.Kwahiyo hapa shida ni kocha au sio?
Kinachomponza Ole ni kutokuwa na balanceBasi nadhani tatizo la united mwisho wa siku linarudi kuwa la OLE na udhaifu wake kiufundi.
Ndani ya hii euro2020,lindelof kaupiga mwingi hadi kawa man of the match kwenye mechi yao dhidi ya hispania
Maguire kauwasha mwingi sana ndani ya game 5 alizocheza ndani ya kikosi cha england
Kuna watu wanamfuatilia fred the red na brazil yake kwenye copa,nasikia fabinho na casemiro wanasubiriana atakayechemsha ampishe mwenzake.
Lakini wachezaji hao hao wakiwa chini ya ole tunashuhudia makosa ya wazi wazi kabisa.
Ni mtizamo wangu tu ila tuendelee kuangaza tatizo la united liko wapi hadi sasa.
Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.Paul pogba anatarajiwa kutangaza uamuzi wake juu ya mustakabali wake wa kisoka wiki hii.