Pogba sio DM,, hilo lipo wazi kabisa..Hivi mfano wakicheza Fred + Pogba hiyo inakuwa sio double pivot?..
Tunashida lakini shida nyingine ni hii ya kumlea Pogba kama Yai..anaacha kucheza kwa discipline anasingizia hawezi kukaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema kwamba rashford, Sancho,Hakuna niliposema hivyo.
Fretcher anacheza juu mkuu..Ni double pivot
Hata akicheza Carrick na Fletcher ni double pivot ila
Mwandende yeye anaona hapo ni attack attack
Mkuu unajuwa tofauti ya attacking mediflder na defensive mediflder?Ni double pivot
Hata akicheza Carrick na Fletcher ni double pivot ila
Mwandende yeye anaona hapo ni attack attack
Bali wale mastriker wanaopiga vichwa wamefumba macho ndy level ya man u..Danny ings sio levo za Manchester United.
Aendelee hapo hapo Soton.
Akicheza Fred ,,tommy, pogba na Bruno kwa pamoja,,, basi elewa mmoja wapo Sancho au rashford lazima aanzie bench..Kwahyo Sancho au rashford atakaa bench?
Martial wala Ings wote ni average players hawatufai.Bali wale mastriker wanaopiga vichwa wamefumba macho ndy level ya man u..
Tutasubiri sn vikombe vya chai.
Hata cavani mliponda zaidi ya hivi.
Mwisho wa siku aibu naona mm..
Ni kwl lakini hata ukichaa unatofautiana mkuu.Martial wala Ings wote ni average players hawatufai.
Sterling ni sawa na rashford tu.
Sio kwamba nmepost ndiyo aje, No.Sterling ni sawa na rashford tu.
Sio striker..
Huyo ni wing attacker.
Anatakiwa striker no 9
Yupo vzr sn mkuu,,,Ila yule mtoto phil Foden yuko vzr hadi raha aisee, ana control sana.
Quote hiyo statement niliyosema nitakujibuMkuu umesema kwamba rashford, Sancho,
Bruno pogba,cavani, ,,Fred na Macc tommy ndy mfumo atakaotumia ole.
Nikakwambiya lazima DM mmoja awe nje.
Ndy maana tunahitaji DM world class ili acheze peke yake.
Mtindo wa kuwaweka Fred,na Mac Tommy ni kupoteza uwezo wa attacking.
Pia wameshindwa kuitendea haki DM .
Ukabisha sn.
ndy maana nikakulazimisha uniwekee kikosi cha man u wakiwemo hao wachezaji na.Sancho akiwemo kama hawajawa 12...
Matokeo yake ukaja na statistics za formula .
Lazima Fred ,au tommy mmoja aanze,,na hawana ubora unaostahili man u.
Ndy maana anatafutwa mmoja ambaye atacheza kama DM .
Sijui wamefikaje fainali
hahahahahahaha dahNi kwl lakini hata ukichaa unatofautiana mkuu.
Kichaa msema peke yake tofauti na kichaa muokota makopo.
Man u wanahitaji striker..kumsaidia Cavan.
Na za kunyapia ni kwamba pesa za kumpata kanny hawana..
Ni bora kumpata ings kuliko kukosa striker kabisa.
Ngoja niingie machimbo..Quote hiyo statement niliyosema nitakujibu
Jamaa kuna mahala alisema tuondoe vilaza halafu tulete wanaojielewa lakini bado anafurahi sisi kuhusishwa na Danny Ings.Martial wala Ings wote ni average players hawatufai.