Yes lazima uue winga kwa sababu 4 4 2 diamond hautumii wingsMara nyingi tukicheza diamond tunaua winger moja na kuchezesha pogba pembeni au van de beek.
Bruno,,juu
Tommy na fredy DM..
Na huo mfumo hauna maajabu yeyote zaidi ya kuambulia kipigo.
4 2 3 1 haina double attacking midfielder labda kama unataka formation yako mwenyewe weka.Mkuu,,,nimekuuliza kwanza niletee kikosi cha man u.first 11.
Wakiwemo DM double, pamoja na double attacking midifilders.
Sancho na rashford..
Kama hukupata wachezaji 12 uwanjani..
Ili tuendelee na mengine.
Hiyo Dogo ni DM....ndy asili yake. Na ananunuliwa sababu ya hyo..
Pogba yupo wapi?Cavani
Rashford Bruno Sancho.
Fred Scot.
Shaw Maguire Lindelof Bissaka
De Gea
Unataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.
Huyo Dogo ni mzuri kuliko tulio nao.
Anapokonya mipira,,
Pasi zina macho.
Japokuwa sio world class DM..
Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..4 2 3 1 haina double attacking midfielder labda kama unataka formation yako mwenyewe weka.
Yupo benchiPogba yupo wapi?
Tulikuwa tunazungumzia preffered formation ya Ole kama unajua hiyo double attacking anayotumia Ole weka wewe.Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..
Kama hawakuzidi uwanjani
Hivi mfano wakicheza Fred + Pogba hiyo inakuwa sio double pivot?..Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..
Kama hawakuzidi uwanjani
Mkuu hyo Dogo mm nimemuangalia uwanjani,,Unataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.
Ngoja tena nikamcheki Youtube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa uliposema kwamba Bruno ,pogba Sancho ,rashford.Yupo benchi
Hakuna niliposema hivyo.Sasa uliposema kwamba Bruno ,pogba Sancho ,rashford.
Wanacheza pamoja wakiwa na double DM ulimaamisha ..
Mfumo gani?
Ni double pivotHivi mfano wakicheza Fred + Pogba hiyo inakuwa sio double pivot?..
Tunashida lakini shida nyingine ni hii ya kumlea Pogba kama Yai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utachoka bure dogo huwa anacheza CM kulia pamoja na Steven Nzonzi au Flavien Tait ambao ni DMUnataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.
Ngoja tena nikamcheki Youtube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Danny ings sio levo za Manchester United.Danny Ings siyo striker wa uhakika
Kwahyo Sancho au rashford atakaa bench?Yes lazima uue winga kwa sababu 4 4 2 diamond hautumii wings
Tukicheza na Sancho ,cavani, rashford.4 2 3 1 haina double attacking midfielder labda kama unataka formation yako mwenyewe weka.
YouTube hawawezi kukuwekea kila kitu cha mchezaji..Unataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.
Ngoja tena nikamcheki Youtube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford, cavani,greenwood.Tulikuwa tunazungumzia preffered formation ya Ole kama unajua hiyo double attacking anayotumia Ole weka wewe.