Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.

Weka kikosi cha first 11....

.rashford.Cavani.Sancho.
Bruno..pogba.
Camaving.


Shaw.magwea.varane.bisaka.

Henderson.



Nipangie first 11.. Only wakiwa na double DM..
Sancho,, rashford. Pogba ,Bruno.

Niwekee hapa..
 
Mkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.

Weka kikosi cha first 11....
Man u akiwemo Sancho ,,rashford,,
Cavan
Bruno na pogba.

Na double DM.. Pamoja ..
 
Mipango gani mzee?,mtu hataki kuongeza mkataba na amebakisha mwaka mmoja ni bora aende farmers league huko sisi tujipange mapema.
Tatizo la pogba ni wakala wake.
Akiona pogba yupo hot ataanza vituko..

Lakini bado hakuna offer iliyotua kwa pogba.
 
Mkuu Camavinga anaweza kuja kumaliza DM mwenyewe sio na kuingia direct kwe XI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi tukicheza diamond tunaua winger moja na kuchezesha pogba pembeni au van de beek.

Bruno,,juu

Tommy na fredy DM..

Na huo mfumo hauna maajabu yeyote zaidi ya kuambulia kipigo.
 
Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.

Huyo Dogo ni mzuri kuliko tulio nao.

Anapokonya mipira,,
Pasi zina macho.

Japokuwa sio world class DM..
Camavinga ni Central Midfielder hawezi kucheza kama lone DM unless kama umeamua kubisha tu.

Hata kwenye kikosi cha Rennes hachezi kama lone DM
 
Camavinga ni Central Midfielder hawezi kucheza kama lone DM unless kama umeamua kubisha tu.

Hata kwenye kikosi cha Rennes hachezi kama lone DM
Mkuu,,,nimekuuliza kwanza niletee kikosi cha man u.first 11.

Wakiwemo DM double, pamoja na double attacking midifilders.
Sancho na rashford..
Kama hukupata wachezaji 12 uwanjani..

Ili tuendelee na mengine.

Hiyo Dogo ni DM....ndy asili yake. Na ananunuliwa sababu ya hyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…