Ndy mwisho wa siku kocha anatupiwa virago.na kufukuzwa.Siyo kila kocha atatumia double pivot ila unachotakiwa kujua mfumo uwanjani mwalimu ndiyo anachagua atumie mfumo kulingana na jinsi anavyotaka timu yake icheze vipi.
Old managers hawakuwa watumiaji wa double pivot kwa sababu double 4 2 3 1 ni mfumo ambao umeibuka recently.
Ukumbuke akiwepo Sancho na rashford wings.Wa kuwalisha mipira yupo Bruno Fernandes na Paul Pogba
Sababu ya floppy...Martial msimu huu kacheza mechi ngapi ?
Kama unakumbukumbu vzr nadhani pia tulishawahi kubishana kuhusu uwezo wa martial na kuletwa Cavan wakati bado yupo PSG..Martial msimu huu kacheza mechi ngapi ?
Kwn camavinga keshakuja?Ukumbuke akiwepo Sancho na rashford wings.
Bruno na pogba wakicheza pamoja,,
hatutakuwa na uwezo wa kuchezesha double DM.
Lazima acheze DM mmoja tu..
Hapo utakuwa umeelewa point yangu.
Kaletwa Sancho ili turudi ktk mfumo wa attacking zaidi.
DM mmoja ambaye either camaving au Fred. Au Mac Tommy..
Hawawezi kucheza wote kwa pamoja.
Hajafika lakini first priority ya man u msimu huu ni 7 wing.. centre back 4, striker 9 na DM ..Kwn camavinga keshakuja?
Yawezekana hauelewi hata hiyo 4 2 3 1 inavyofanya kazi.Ukumbuke akiwepo Sancho na rashford wings.
Bruno na pogba wakicheza pamoja,,
hatutakuwa na uwezo wa kuchezesha double DM.
Lazima acheze DM mmoja tu..
Hapo utakuwa umeelewa point yangu.
Kaletwa Sancho ili turudi ktk mfumo wa attacking zaidi.
DM mmoja ambaye either camaving au Fred. Au Mac Tommy..
Hawawezi kucheza wote kwa pamoja.
Alikuwa na injury mkuuSababu ya floppy...
Sijawahi kumponda Cavani ila haimanishi kuwa Danny Ings ni bora kuliko MartialKama unakumbukumbu vzr nadhani pia tulishawahi kubishana kuhusu uwezo wa martial na kuletwa Cavan wakati bado yupo PSG..
Uliongoza kundi la kunipinga na kuhoji uwezo wa Cavan,
Ukaja na statistics za magazeti kuhusu martial.
Na kumponda Cavan.
Mwisho wa msimu imejulikana striker ni nani na starter ni nani..
Hebu nipangie kikosi hapa jamvini akiwemo Sancho,rashford pogba ,Fernandez na double DM pamoja kama wachezaji hawatokuwa 12..Yawezekana hauelewi hata hiyo 4 2 3 1 inavyofanya kazi.
Kwa sasa huo mfumo utafanya kazi kwa usahihi zaidi kwa sababu timu itabalance kila upande
Ndiyo maana nimekwambia huelewi unachokiongelea.Hebu nipangie kikosi hapa jamvini akiwemo Sancho,rashford pogba ,Fernandez na double DM pamoja kama wachezaji hawatokuwa 12..
Kwahiyo kwenye hiyo list uliyoitaja tukitumia double pivot mmoja kati ya Pogba au Bruno lazima awe benchi.Hebu nipangie kikosi hapa jamvini akiwemo Sancho,rashford pogba ,Fernandez na double DM pamoja kama wachezaji hawatokuwa 12..
Rashford .Cavan sancho.Hebu nipangie kikosi hapa jamvini akiwemo Sancho,rashford pogba ,Fernandez na double DM pamoja kama wachezaji hawatokuwa 12..
Kwanza Camavinga siyo DM ni Central midfielder.Rashford .Cavan sancho.
Bruno .pogba.( attacking midefildrs).
Camaving(DM)
Shaw. varane. bisaka.
Magwea.
Henderson
Kama Sancho na rashford wakicheza ni lazima attacking midifilder mmoja awe benchi..Kwahiyo kwenye hiyo list uliyoitaja tukitumia double pivot mmoja kati ya Pogba au Bruno lazima awe benchi.
Mkuu...camaving ni DM...Kwanza Camavinga siyo DM ni Central midfielder.
Sancho alikuwapo!? Nipe kikosi Sancho na rashford wapo..Ndiyo maana nimekwambia huelewi unachokiongelea.
Mechi zote ambazo Paul Pogba ameanza tumecheza 4 4 2 Diamond.
Na mechi ambazo Scot na Fred na Bruno zote tunacheza 4 2 3 1.
Kama ulifuatilia vizuri jambo ambalo nina wasi wasi nalo kama huwa unafuatilia mechi zote za UEFA Ole alitumia 4 4 2 diamond.
Na mechi nyingi za FA pia alitumia 4 4 2 diamond isipokuwa tu alipokuwa anakutana na timu dhaifu sana.
Floppy, ile injury ni sababu tu..lakini mashabiki tulishamchoka.Alikuwa na injury mkuu
Kama unataka wawepo attacking midfielders wote wa united panga cha kwako.Kama Sancho na rashford wakicheza ni lazima attacking midifilder mmoja awe benchi..
Nimekwambiya nipe kikosi wakiwemo wote hao na double DM pamoja?
Wew ulishamchoka Mwalimu je ?Floppy, ile injury ni sababu tu..lakini mashabiki tulishamchoka.
Kwa kucheza kibishoo na kukosa magoli ya wazi