Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG huwa anatumia double pivot pia wanadefence dhaifu?
PSG wana watu wa kasi na uwezo mkubwa .
Wanawatumia neyma na mbappe kama wings.
Wana kasi na uwezo mkubwa wa kukokota mpira..
Pia wanatumia mfumo huo wakitafuta matokeo kwa kujilinda zaidi.

Man u anatumia wings gani?
Rashford kushoto ,,,kulia Daniel James ambaye anakimbia na kuuusahau mpira ulipo.
Huoni utofauti?

PSG wana watu wenye uwezo mkubwa kila idara wamekamilika..

Na siku wakiamua kufunguka hawachezeshi double DM.
 
Nimeona hii video jamaa anaipenda sana kazi yake (anaweka sana logic kwenye taarifa pia kabla ya kuweka public).

Pia naona ana connection kubwa na watu wa mahotel...

Nimependa aliposema "when you talk about man utd people becomes crazy"

Btw atakua anapiga sana pay kwenye talk shows and related social media.
 
Niliwahi soma mahala kwamba aliyeharibu hili dili ni Giggs...Moyes na Ed walimuuliza kuhusu Thiago, Giggs akajibu sio Man united material na ni msaka fedha.
 
Niliwahi soma mahala kwamba aliyeharibu hili dili ni Giggs...Moyes na Ed walimuuliza kuhusu Thiago, Giggs akajibu sio Man united material na ni msaka fedha.
Kumbe tusimhukumu Ole kwa ile kauli yake maarufu ya dna,hili suala linatoka mbali zaidi.
Lakini swali la kujiuliza,tunasajili DNA au uwezo wa mchezaji uwanjani?
Nadhani hatuna kiu ya makombe ndio maana hatuna haraka sana kwenye sajili.
 
Kaja epl na umri gani
Tayari jua lishazama mwili ushachoka kumbuka na majeraha yamechangia
I know unazungumzia age ila ukizingatia talent yake,I am sure watu wa liverpool watakwambia ame-underpeform hajafikia matazamio ya wengi.
 
Bado naiona PSG ikiwa timu ya kawaida tuu.
 
Man united wana Rashford kushoto ambaye ana pace nzuri kuliko wachezaji wote wa united na probably wachache sana wanaomzidi EPL, kulia tayari wana Jadon Sancho na Amad huoni kuwa kama issue ni pace tayari imeshakuwa solved ?
 
Ukiangalia mechi za PSG,
Gana Gueye na Hererra.

Parades na Verrati

Herrera na Paredes wakati mwingine na Danilo au Maquinho huwa wanacheza midfield vipi wanadefence dhaifu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…