Lipo jukwaa la yanga mkuu,,nenda katoe pongezi zako huko.Nje ya mada,,,,,,,,,,, Jamani wananchi leo wamenifurahisha.
Sifatilii ligi ya Bongo lakini likija swala la Simba vs Yanga lazima niache kazi zangu na kuifuatilia hiyo game.
Kwakweli Yanga naipenda mpaka kumoyo, sema soccer la kibongo ndio la kisenge.
Asanteni wananchi leo mumenifurahisha.
Yupo vzr sn Sancho,,,hapo tukimpata Harry keni..Sancho tumepata mchezaji
Njoo huku mkuu tushangilie kuwanyonyoa hawa vibwengo [emoji116][emoji116]Nje ya mada,,,,,,,,,,, Jamani wananchi leo wamenifurahisha.
Sifatilii ligi ya Bongo lakini likija swala la Simba vs Yanga lazima niache kazi zangu na kuifuatilia hiyo game.
Kwakweli Yanga naipenda mpaka kumoyo, sema soccer la kibongo ndio la kisenge.
Asanteni wananchi leo mumenifurahisha.
Ubingwa chini ya Ole mutasikia kwenye bombaYupo vzr sn Sancho,,,hapo tukimpata Harry keni..
Na varane pamoja na DM world class,,mwakani ubingwa wetu..
Huyu Magwaya ameleta kombe gani tangu asajiliwe? Tumepigwa pale..hata shaw na maguire mlisema hivyohivyo
Walete hela hizo....
Mou alikua sahihi bila kubwatuka asingefikia uwezo huu unaouonaShaw anaendelea kumharibia mbwatukaji Jose' Mourinho.
Mkuu unataka usajili timu nzima msimu mmoja tu?Yupo vzr sn Sancho,,,hapo tukimpata Harry keni..
Na varane pamoja na DM world class,,mwakani ubingwa wetu..
Wiki ya pili ya mwezi August ligi inaanza..Ligi inaanza lini EPL na ratiba imeshatoka? Mashabiki watakuewepo?
Harry Kane hatuwezi kumsajili..Yupo vzr sn Sancho,,,hapo tukimpata Harry keni..
Na varane pamoja na DM world class,,mwakani ubingwa wetu..
[emoji1690]Wiki ya pili ya mwezi August ligi inaanza..
Ratiba ishatoka.
Mashabiki watakuwepo kama mamlaka vitakavyoruhusu.
Fred ni mtu sema kuna muda anacheza kama hatumii akili.Wakuu, kwa atakayepata muda amuangalie Fred anachofanya Copa America.
Fred ni mtu aisee,
mnamlinganishaje na Scott
Acha kua juha weweee!Sancho mmepigwa kweupe kabisa, yaani goli 4 hakuna ata assist moja