Manchester United (Red Devils) | Special Thread

DeGea aondoke tu.

He's now too average au kocha anashindwa kumnoa vizuri.

Hivi Ole wakati anakuja alitimua hadi kocha wa makipa?
 
Tuache utani jamani OLE kichwani ni mweupe kabisa ,hana mbinu zozote za kisoka ,tatizo LA man utd sio wachezaji ,kocha ndio bomuu ...


Na mtakuja kusituka huu msimu umeisha ,na mtakukuwa hamna kombe lolote

Sancho
Varane

Hata wakija kocha kichwani ni mweupe haelewi kitu ,hana mbinu za ushindi kabisa ,anategemea uwezo wa wachezaji kudadekiii ...

Haya timu ina

Cavan
Pogba
Bruno
Vdb
Rashford

Mnataka mpewe wakina nan mpaka Muwe na kikosi cha kuchukua ubingwa ,

Ole mmepigwa

Ole ni Bomu

Ole hana mbinu

Ole sio class ya kumanage man utd

Ole level zake ni burnely huko

Ole hana analojua kuhusu football

Msimu wa tano bila kombe loading....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…