Amad Diallo ilikuwa ni panick signing na hatakuwa na maisha marefu pale Old Trafford.ni usajili muhimu sana kwetu kama ulivyoelezea sentensi inayofuata.
usajili wake lakini unazalisha mjadala mwengine mpya
ni upi mustakabali wa amad diallo?
nimeshaiona position ya amad msimu ujao na kuendeleaAmad Diallo ilikuwa ni panick signing na hatakuwa na maisha marefu pale Old Trafford.
yupo katika list ya DM wanaotafutwa na scouting yetu.
nazifuatilia mechi za ureno kwa sababu yake, nilikuwa nakerwa sana pindi asipochezeshwa.
afadhali jana nimemuona na kwa kweli amenivutia.
huko reddit mashabiki wanalaumu sana kwa nini kocha wa ureno alikuwa anamweka nje kwa sababu ya danilo na carvalho
Huyu jamaa huyu JADON SANCHO ananikumbusha ya Owen Hagrives, tulilazimisha sana kumsajili, alivyo kuja ni mwendo wa majeruhi tu.
Mungu aepushe na hilo, lakini huyu jamaa huyu muda utaongea.
kwa nini unachekaEti yuko kwenye list ya scout wetu, aki nimecheka
HahahahaUkishakunywa mataputapu huko kwenu majani ya chai na kushushia na veve basi unakuja kubwata kwenye uzi wetu..jinga sana wewe jamaa.
Si juzi tumepata DoF?Borussia dortmund wanatuchukuliaje?
borussia wanahitaji euro million 95 kwa ajili ya jadon sancho, kwanza man utd walituma euro million 75 lakini borussia wakakataa ofa hiyo. Taarifa za jana jioni zilizoandikwa na reporters wengi zinadai ya kwamba man utd walituma tena ofa yenye thamani ya euro millioni 85 (pungufu ya euro millioni 10). Taarifa za leo zilizozagaa mchana huu zinadai ya kwamba borussia wamekataa hiyo offer ya euro millioni 85.
Ile jeuri yetu ya zamani imekwenda wapi, nakumbuka sir alex alikataa kumpandia tena dau lucas moura baada ya waarabu wa PSG kuingilia dili lake, leo hii tunachezewa mpaka na timu mfano wa crystal palace na leicester city kwenye negotiations, hii ni aibu.
Nitaumia sana endapo klabu itashindwa kupunguza hata shilingi moja ya bei iliowekwa na borussia.
Borussia wanatuwekea ngumu kwa sababu wanahitaji wabakiwe na kiwango kikubwa sana cha fedha (man city watakuwa na mgao wao kwenye hili dili)
[Simon Stone] There is a 15% sell-on clause in the deal ManCity negotiated when they sold Sancho to BVB in 2017. This is across the total fee.
simon stone anaandika mchana huu
Simon Stone says our bid was rejected but we may not have to meet Dortmund's valuation.
View attachment 1828511
Kama Chelsea walikuwa na kikosi kibovu na wakachukua kombe, Man Utd wakashindwa kuchukua.Kama Chelsea imetwaa ubingwa na kikosi dhaifu kama kile kwanini united ishindwe kwa hayo maingizo niliyotaja
Haya ndo mambo sasa.️CDM suggestion of the day: Joao Palinha
Age: 25 years
Club: Sporting Lisbon
Nationality: Portugal
Joao Palhinha is coming off the best season of his career after helping Sporting to win the Primeira Liga title.
Statistically, he is cited by FBRef.com to have won the HIGHEST number of tackles (68) in the Portugese League
WhoScored.com have rated him as the 7th best player in the league based on performances
His 3.3 tackles per game last season is significantly higher than, say, Declan Rice’s 1.8 per game.
Another point to note, Palinha is JUST "35.5million euros"on the market according to Record
Another CDM candidate that perfectly fits all criteria United are in need of and probably be one of the best cheap options available. #mufcView attachment 1828572
Poor coachingKama Chelsea walikuwa na kikosi kibovu na wakachukua kombe, Man Utd wakashindwa kuchukua.
Unadhani kosa ni la nani hapo?
Kwahiyo ukimleta Sancho kutakuwa na improvement kwenye coaching?Poor coaching
Hilo neno SOBWA lina maana gani? … Kama ni matusi ya kwenu… SOBWA ni wewe mwenyewe na mwenye kiti wako wa mtaa na Paka wote wanao zurura mtaani kwenu.Hili genge la NYUMBU lisha sobwa na mafuriko