Endelea na Yanga yako mkuu, huku hapakutoshi.Hiyo timu tutalilia tusajili sijui kina nani ila sioni tukitamba na huyu average head coach!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro naomba mungu uwe unatania.Kwa mkapa pale ni kama kuna uchawi vile..
Huyu jamaa anaweza akawa sio top level..lakini nadhani ni cheap option,anauwezo kumzidi immobile McTominay,who always went missing pale katikati..kasi,physicality,passing n.k yuko poa.
Scout wetu naskia wanaenda kumcheki pia jumamosi kwenye game vs Wydad.
Mimi kuna kitu nimeona kwa huyu jamaa...anyway,ngoja tusubiri,maana hata ataenda ulaya soon.Bro naomba mungu uwe unatania.
Mtu ambaye mid ya lwanga na mzamiru ilimpoteza, atatufaa dhidi ya kina Alcantara?
Mi nilivyoona hivyo nikajua wanatukejeri
Roy Keane kichaa tu nae.Roy Keane kachafukwa na inshu za pogbaView attachment 1823509
Roy Keane ni mropokaji..Roy Keane kichaa tu nae.
Anashindwa vipi kuwaletea zengwe wachezaji vilaza kama Rashford? Kuna siku Scholes aliwahi kusema Maguire anatakiwa atafutiwe partner mzuri wa kucheza nae.
Nikatamani avulie ulegend wa United.
Vipi huyu Sanchez?nimeiona miguu ya michael carrick kwenye mwili wa João Palhinha
ni press resistance wa uhakika (bahati nzuri au mbaya hatuna mchezaji mfano wake)Vipi huyu Sanchez?
True..hata huko Lille timu isiyo na pressure amedeliver na wamebeba kombe la mbuzi la French League One..ni press resistance wa uhakika (bahati nzuri au mbaya hatuna mchezaji mfano wake)
akipata timu ambayo haina presha kubwa atafanya vizuri sana
bayern walimnunua kwa fedha nyingi sana lakini alishindwa kuyafikia matarajio yao, huenda timu kubwa wataitumia rekodi yake na bayern kwenye kufanya uamuzi wa kuepukana naye.
zinaweza kuwa timu sahihi zaidi kwake
- everton
- wolves
- tottenham
akirudi england na kiwango kama hiki cha euro 2020 ataimbwa kila siku na punditsTrue..hata huko Lille timu isiyo na pressure amedeliver na wamebeba kombe la mbuzi la French League One..
Tatizo la defensive mediflder pia tunalo,,,,kuchezesha Fred na.Tommy pamoja ni kuvunja makali ya attacking,Lakini mimi sioni kama tuna tatizo central midfield.
Tatizo letu liko right wing na centre foward.
Ni heri tutumie pesa zote za usajili kuimarisha centre foward na right wing kwanza
Unataka kusema hata tunacheza na Brighton tunahitaji double pivot ?Tatizo la defensive mediflder pia tunalo,,,,kuchezesha Fred na.Tommy pamoja ni kuvunja makali ya attacking,
Tupate DM mmoja mkali ili tuwe more attacking.
Sent using Jamii Forums mobile app
United haihitaji DM inahitaji rightwing mzuri na centre foward mzuri pengine na modern right back.Tatizo la defensive mediflder pia tunalo,,,,kuchezesha Fred na.Tommy pamoja ni kuvunja makali ya attacking,
Tupate DM mmoja mkali ili tuwe more attacking.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachezesha double DM. sababu ya udhaifu wa DM yetu pamoja na kulinda zaidi beki zetu dhaifu.Unataka kusema hata tunacheza na Brighton tunahitaji double pivot ?
Nafikiri Solkjaer anatumia double pivot kutokana na uamuzi wake tu hasa ukizingatia ni midfield pekee ndiyo yenye machaguo mengi.
Shida ni nini kwani? Upstairs uko sawa? Hayo ni maoni yangu wewe endelea na maoni yako ya kwamba Ole anatosha basi! Inaonyesha Mpira Wa bongo tunauona kwa macho ya kawaida ila huko ulaya Mpira tunauangalia kwa microscope ndio mana huku sitoshi. Acha ushamba na argument zako za ligi ya kibongobongo.Endelea na Yanga yako mkuu, huku hapakutoshi.
Sorkjaer yupo sana, sio leo wala kesho.
Yupo vizuri sana na tushawahi pambana sana kumpata siku za nyuma,ila kama kawaida mkono wetu huwa mfupi, mwisho Wa siku Munchen walitubwaga!Vipi huyu Sanchez?
i second you mkuu..nilimuona jana kunamovement nzuri sana alidribble, alipiga long pass nyingi nzuri etc.... amezaliwa 95 yupo sporting kama sijakoseanimeiona miguu ya michael carrick kwenye mwili wa João Palhinha