Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ana nguvu,pace,akili..mzuri sana huyu jamaa..Lakini sina hakika kama atacheza vilevile akija EPL.
 
Hapo tutakua tunaendelea kutesti mitambo tu.
 
Hapo tutakua tunaendelea kutesti mitambo tu.
Bora hivyo kuliko kutumia pesa nyingi kwa wachezaji wanaopambwa na Media...pesa yenyewe ya mboga tu a.k.a pesa mbuziii tu.. Chini ya £12 millioni.

Na huyu kijana ana nguvu,kasi ya ajabu sana.

Tunaweza kumpata Kante wetu.
 
Aliou Dieng huyu huyu aliyepotezwa na kina Chama mpaka akawa anakabia kwenye box lao ?
 
Aliou Dieng huyu huyu aliyepotezwa na kina Chama mpaka akawa anakabia kwenye box lao ?
Kwa mkapa pale ni kama kuna uchawi vile..

Huyu jamaa anaweza akawa sio top level..lakini nadhani ni cheap option,anauwezo kumzidi immobile McTominay,who always went missing pale katikati..kasi,physicality,passing n.k yuko poa.

Scout wetu naskia wanaenda kumcheki pia jumamosi kwenye game vs Wydad.
 
Wilfred Ndindi hafai ?
 
Wilfred Ndindi hafai ?
Good option pia..na mimi pia nadhani kama Ole atapewa hela ya kutosha agonge mlango Leicester..ila bei zao tunazijua..na kama Pogba akiongeza mkataba sioni hilo likiwezekana.

Tunahitaji CB,RB,RW hawa ndo wa muhimu kabisa kuliko chochote.
 
Lakini mimi sioni kama tuna tatizo central midfield.
Tatizo letu liko right wing na centre foward.

Ni heri tutumie pesa zote za usajili kuimarisha centre foward na right wing kwanza
 
Good option pia..na mimi pia nadhani kama Ole atapewa hela ya kutosha agonge mlango Leicester..ila bei zao tunazijua..na kama Pogba akiongeza mkataba sioni hilo likiwezekana.

Tunahitaji CB,RB,RW hawa ndo wa muhimu kabisa kuliko chochote.
Centre back ni heri Eric Bailly, Tuanzebe na Phill waondoke tusajili wengine kuliko kuendelea kurundika wachezaji wasio na matumizi.

Sote tunaona huko Lindelof anachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…