Kwenye dunia ya vipofu ,,Mwenye Jicho moja huwa mfalme.Yawezekana hana maajabu kweli je kikosi chetu kina mtu mwenye maajabu anayecheza wing ya kushoto ?
Kwani mbadala wake ni nani iyo wing ya kushoto??Yawezekana hana maajabu kweli je kikosi chetu kina mtu mwenye maajabu anayecheza wing ya kushoto ?
Tatizo la Rashford ni ubinafsi unaokosa tija.kwa Rashford upo sahihi kabisa huyu mjinga hatukuja kubadilika uwezo ndo umeishia hapo..hana akili
Tatizo la Rashford ni ubinafsi unaokosa tija.
Akawe program manager wa WFP tu hahahaAna mambo mengi mara chakula kwa watoto mashuleni.
First XI hapo hawazidi wa tano. Pogba, Rashid, Pernandez, mctommary labda na De Gea ..hao wengine wanaitwaga kujaza nafasi zilizoachwa waziDe Gea-Spain
Dean Henderson-England
Shaw-England
Maguire-England
Lindelof-Sweden
Fred-Brazil
McTominay-Scotland
Pogba-France
Bruno-Portugal
Rashford-England
van de Beek-Netherland
James-Wales
Anthony Martial na Daniel JamesKwani mbadala wake ni nani iyo wing ya kushoto??
ukiacha record zinazo mbeba ana msimu wa ngapi anapewa nafasi umeona anakitu kilichobadilika ? kila siku yuko vilevile cheki greenwood alivyoanza na alivyo sasa ndani muda mfupi tunaona anazidi kuwa mzuriYawezekana hana maajabu kweli je kikosi chetu kina mtu mwenye maajabu anayecheza wing ya kushoto ?
Martial kuuzwa Real Madrid kama Sancho atasajiliwaAnthony Martial na Daniel James
Kivipi yaaniMartial kuuzwa Real Madrid kama Sancho atasajiliwa
Greenwood anacheza wing ya kushoto ?ukiacha record zinazo mbeba ana msimu wa ngapi anapewa nafasi umeona anakitu kilichobadilika ? kila siku yuko vilevile cheki greenwood alivyoanza na alivyo sasa ndani muda mfupi tunaona anazidi kuwa mzuri
Hata ukiangalia kwenye epl kwa wachezaji wanaocheza wing ya kushoto ukiondoa Sadio Mane , na Son nani mwingine anayemzidi Rashford kitakwimu na ubora ?ukiacha record zinazo mbeba ana msimu wa ngapi anapewa nafasi umeona anakitu kilichobadilika ? kila siku yuko vilevile cheki greenwood alivyoanza na alivyo sasa ndani muda mfupi tunaona anazidi kuwa mzuri
Naona umebadilisha avatar, safi sana mkuu.Hata ukiangalia kwenye epl kwa wachezaji wanaocheza wing ya kushoto ukiondoa Sadio Mane , na Son nani mwingine anayemzidi Rashford kitakwimu na ubora ?
Maana yake hata wachezaji wanaomzidi umri bado anapambana nao kitakwimu.
Amenihuzunisha sana aisee..bora tu amekuwa stabilized.Naona Eriksen ameamka bhn kwa uwezo wa Allah.
We acha tu kaka yn hapa hom wote tulikuwa tunajisikia vibaya, hata wasiopenda mpira wote walikuwa wanaomba zije habari nzuri, ila Mungu mkubwa ameamka aisee.Amenihuzunisha sana aisee..bora tu amekuwa stabilized.
Wazungu wanapambana sn, nilikuwa na matumaini kdg cz nilikumbuka issue ya Patrice Muamba.Amenihuzunisha sana aisee..bora tu amekuwa stabilized.