D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
sielewi mantiki ya kufanya mazungumzo ya kumpa mkataba mpya lee grant haliyakuwa muda huo huo tunavumishiwa kusajili kipa mwengine (tom heaton), Ina maana sergio romero ataondoka na mwenzake (de gea au henderson)?
Nathan Bishop Dean Henderson, David De Gea na Sergio Romero.sielewi mantiki ya kufanya mazungumzo ya kumpa mkataba mpya lee grant haliyakuwa muda huo huo tunavumishiwa kusajili kipa mwengine (tom heaton), Ina maana sergio romero ataondoka na mwenzake (de gea au henderson)?
mkataba wa sergio unaelekea ukingoni na anatazamiwa kuondoka bure, hapo ndipo unapouona udhaifu wa kiuongozi ndani ya klabu kama ulivyozungumza hapo nyuma, huyu sergio alitakiwa na everton pamoja na aston villa kwa nyakati tofauti lakini klabu ikaweka kizingiti kirefu cha fedha kilichosababisha vilabu viwili hivyo kushindwa kuchupa na kufikia makubaliano ya kulipa.Nathan Bishop Dean Henderson, David De Gea na Sergio Romero.
Huyo Tom Heaton wa nini ?
Hata kama kuna golikipa anaondoka mkubwa kuna haja ya kumsajili Heaton wakati Nathan Bishop yupomkataba wa sergio unaelekea ukingoni na anatazamiwa kuondoka bure, hapo ndipo unapouona udhaifu wa kiuongozi ndani ya klabu kama ulivyozungumza hapo nyuma, huyu sergio alitakiwa na everton pamoja na aston villa kwa nyakati tofauti lakini klabu ikaweka kizingiti kirefu cha fedha kilichosababisha vilabu viwili hivyo kushindwa kuchupa na kufikia makubaliano ya kulipa.
Msimu huu tumemdhalilisha kwa kumuondoa kikosi cha kwanza na hatimaye ataondoka bure (hapa namlaumu ole kwa aliyomtendea huyu jamaa)
Tom heaton anatarajiwa kuwa kipa wa hakiba namba 3, mwanzoni nilidhani lee grant ataondoka ndipo nafasi yake izibwe na heaton lakini taarifa za leo zinasema grant anafanya mazungumzo ya mkataba, Pengine klabu imeshanusa harufu mbaya ya kuondokewa kipa maarufu kati ya wawili wanaogombea namba ndio maana grant lee amerudishwa kwenye kundi.
ngoja tuone hii sinema itaishia wapi lakini tukumbuke tu hakuna timu kubwa inayohitaji goalkeeper kwa sasa labda pafanyike mapinduzi ya kihuni (PSG au Juventus).
jengine huyu tom heaton ni mtoto wa manchester united (alicheza pamoja na Ole)
tunajificha kwenye hoja ya uzoefu huku tukisahau huyo keeper anayekuja atakuwa chaguo la tatu, kmuajiri mchezaji mkongwe kwenye nafasi ambayo inaweza kusimamiwa na kijana anayechipukia ni matumizi mabaya ya madaraka.Hata kama kuna golikipa anaondoka mkubwa kuna haja ya kumsajili Heaton wakati Nathan Bishop yupo
hayawezi kuja mpaka tumuondoe mwalimu, mpira huu tunaocheza umerithiwa kutoka kwa sir alex (hatukucheza total football wala soka la kijerumani miaka yake yote)Probably tunahitaji mabadiliko ya mfumo pia
mjadala wa Ole gunnar solskjaer na mwanawe rashford utabaki kuwa ni mgumu sana, ukitumia jicho la kawaida hao watu huwezi kuwaweka katika kundi la ubora hata kwa dakika moja lakini ukiweka takwimu zao wanaweza kukuumbua hadharani.Ila ukweli ni kwamba Manchester united haina mwelekeo wowote sahihi uwanjani na Ole kama atabeba kombe atakuwa amebahatisha tu siyo kwa uimara wa timu.
Kwa misimu miwili na nusu aliyokaa Ole Manchester united ameimprove yeye binafsi katika kufanya press conference tu.
| Season | Games | GF | GA | Goals Per Game |
|---|---|---|---|---|
| 20-21 | 61 | 121 | 68 | 2.0 |
| 19-20 | 61 | 112 | 51 | 1.8 |
| 18-19 | 53 | 85 | 70 | 1.6 |
| 17-18 | 56 | 101 | 40 | 1.8 |
| 16-17 | 64 | 105 | 46 | 1.6 |
| 15-16 | 59 | 87 | 54 | 1.5 |
| 14-15 | 44 | 71 | 44 | 1.6 |
| 13-14 | 55 | 94 | 57 | 1.7 |
| 12-13 | 54 | 114 | 65 | 2.1 |
| 11-12 | 54 | 120 | 56 | 2.2 |
United tayari wameshamreleasetunajificha kwenye hoja ya uzoefu huku tukisahau huyo keeper anayekuja atakuwa chaguo la tatu, kmuajiri mchezaji mkongwe kwenye nafasi ambayo inaweza kusimamiwa na kijana anayechipukia ni matumizi mabaya ya madaraka.
Hapo ndipo unapozaliwa ugonjwa wa msongo wa mawazo kwa hawa vijana kwa sababu ya kutishiwa kwa fursa zitakazowawezesha kusonga mbele na kujitengenezea careers nzuri.
kwa miaka hii ya karibuni ni henderson pekee ndiye aliyefanikiwa kusonga mbele, wengineo wameishiwa kuhama ndani ya klabu.
- pierluigi gollini = ameishia atlanta baada ya kushindwa kuingia kikosi cha kwanza (afadhali huyu ana career nzuri)
- robert zieler = mjerumani aliyerudi kwao miaka 10 iliopita, kuna nyakati aliwahi kuitwa timu ya taifa ya germany
- ben amos = ameishia charlton
- joel perreira = amekuwa mtangaji wa vilabu, kwa ufupi huyu dogo hawezi kurudi man utd
Mimi huwatazama kwa jicho la kawaida tu na huwa nawatazama kwa takwimu ninapokuwa na sababu mahsusi.mjadala wa Ole gunnar solskjaer na mwanawe rashford utabaki kuwa ni mgumu sana, ukitumia jicho la kawaida hao watu huwezi kuwaweka katika kundi la ubora hata kwa dakika moja lakini ukiweka takwimu zao wanaweza kukuumbua hadharani.
sasa Itategemea na njia utakayoitumia kuwarate ubora wao, binafsi napendelea zaidi njia ya kutumia macho yangu dhaifu kwa sababu hunipa jawabu kwa mujibu wa mahitaji yangu
sijui wewe unatumia njia gani kuwarate hao jamaa ila nakuomba usitumie takwimu kwenye kuwapima ubora wao kwa sababu itakuwa ni rahisi kuadhibiwa.
Chief mkwawa hutumia takwimu kumrate mchezaji au kocha husika
Highest Goals Per Game ratio since Sir Alex retired, tatizo kubwa lililojitokeza ni GA
Season Games GF GA Goals Per Game 20-21 61 121 68 2.0 19-20 61 112 51 1.8 18-19 53 85 70 1.6 17-18 56 101 40 1.8 16-17 64 105 46 1.6 15-16 59 87 54 1.5 14-15 44 71 44 1.6 13-14 55 94 57 1.7 12-13 54 114 65 2.1 11-12 54 120 56 2.2
United tangu aondoke Sir Alex Ferguson haikuwahi kuongozwa kwa usahihi uwanjani.
Kifupi tulirudi level ya Arsenal ya kufanya usajili kwajili ya kuwa na wachezaji tu na siyo kwa malengo mahsusi.
Uwepo wa Jose Mourinho uliharibu hata image ya Manchester united na uliyaexpose kwa usahihi zaidi mapungufu ya Manchester United kiasi cha kukosa hata mvuto kwa wachezaji wenye vipaji vikubwa ikabaki kujivunia fedha tu.
Sasa hivi mapungufu ya Uongozi wa Manchester united yamezibwa na madhaifu ya Ole hivyo mapungufu ya timu yanaonekana yako kwa mwalimu tu.
Ila ukweli ni kwamba Manchester united haina mwelekeo wowote sahihi uwanjani na Ole kama atabeba kombe atakuwa amebahatisha tu siyo kwa uimara wa timu.
Kwa misimu miwili na nusu aliyokaa Ole Manchester united ameimprove yeye binafsi katika kufanya press conference tu.
Labda United wanamipango mingine na Juan Mata tofauti na matumizi ya uwanjaniWatu wanamtoa striker wao mzuri tu 33 Aguero ila sisi tunataka tumuongezee mkataba Juan Mata.....hatupo serious na mafanikio.
Hii timu yetu inaendeshwa kilevi levi sana..Watu wanamtoa striker wao mzuri tu 33 Aguero ila sisi tunataka tumuongezee mkataba Juan Mata.....hatupo serious na mafanikio.
astaafu apewe hayo majukumu mkuu.... Kumuweka karibu na timu labda inaweza isisaidie chochote.Labda United wanamipango mingine na Juan Mata tofauti na matumizi ya uwanjani