Probably tunahitaji mabadiliko ya mfumo piaTunahitaji
1.CB ( Mrefu na very composed CB)
2.DM/Holding (Mkabaji,Fundi,Mapafu ya mbwa,na mwenye pass accuracy bora)
3.RW (Sancho)
4.RB (Good going foward)
Wakati Atletico Madrid wakimsajili Kierian Trippier United walikuwa wanahangaika na Crsytal Palace kumsajili Wan Bissaka.4. Kieran trippier
Tatizo lako ukishakula bange lako pale kigenge juu, unakuja kudevela humu, bila kujua kua wengine ni wachungaji humu.Oyaa acha kelele wewe takataka, umesahau mlivyopania kutuharibia Uzi wetu endapo tungekosa kombe??
Kwa hiyo wacha tuendelee kuwakera.
Hahahahaha bangi ni dawa mkuu, kwani mashimoni uko mkiingiaga ampigi pafu kadhaa??Tatizo lako ukishakula bange lako pale kigenge juu, unakuja kudevela humu, bila kujua kua wengine ni wachungaji humu.
Sosha pimbi tu alimsajili bisaka ili iwejeManchester United director of football negotiations Matt Judge is in dialogue over Trippier. Talks with Atletico Madrid have commenced, with Solskjaer viewing him as a readymade elite option to challenge Aaron Wan-Bissaka at right-back as per
@TheAthleticUK via @theutdjournal
nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.Wakati Atletico Madrid wakimsajili Kierian Trippier United walikuwa wanahangaika na Crsytal Palace kumsajili Wan Bissaka.
Woodward katupitisha kipindi kigumu sana
United tangu aondoke Sir Alex Ferguson haikuwahi kuongozwa kwa usahihi uwanjani.nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.
ngoja tusubirie hii vita ya kieran trippier dhidi ya wan bissaka kama jamaa atakubali kurudi nyumbani
ethan laird ataendelea kupata uzoefu huko aliko (pengine atapelekwa ligi ya daraja la juu)
diogo atauzwa (Ac milan wameonyesha nia ya kuvutiwa na huduma yake)
brandon williams atatolewa mkopo
Tulishindwa kumsajili Trippier akiwa na miaka 28 sasa tunataka kumsajili akiwa na miaka 30 !!! haya ni matumizi mabaya ya akili na muda.nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.
ngoja tusubirie hii vita ya kieran trippier dhidi ya wan bissaka kama jamaa atakubali kurudi nyumbani
ethan laird ataendelea kupata uzoefu huko aliko (pengine atapelekwa ligi ya daraja la juu)
diogo atauzwa (Ac milan wameonyesha nia ya kuvutiwa na huduma yake)
brandon williams atatolewa mkopo
Bissaka alikuwa form ndo maana..Sosha pimbi tu alimsajili bisaka ili iweje
Duh umewachoka maandamano fcMatakataka ya Manchester mnaendeleaje?