Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa siangalii game za chelsea ila yule werner angekua na urefu wa rashford dunia nzima ingizizima maana dogo ni typical lewandoski kabisa.....


We na ufupi ule lakini bado wanampigia mipira mirefu na ikimkuta site anaizima vizuri tu
Kuhusu Werner hapana, huyu ni Rashford in blue shirt.
 
★Sure thing Bruh
 
★Stoke City are reportedly waiting for Manchester United or Arsenal to bid for their young Irish defender Nathan Collins (CB 20Y.O.).★

#TheSun
#GGMU


manutd |
 
Kuna nyakati mtu kichwa kina vurugika unakosa cha kuandika na kuamua kusoma comenntes za wengine tu.

Lakini kipindi unaendelea na kusoma, ghafra unakutana na comenntes sio zina kera tu, zinachefua mpaka unabaki unatukana tu peke yako.

Oyah ndugu zetu munazingua, tena muna rocha mpaka kero.

Umeifunga Man City, sasa sisi ni Man City?
Jukwaa lao si lipo, muende kule!

Ukisikia ukubwa sio mpaka uote mapembe, acheni ujinga.
 
Kuna fans wa man U walikuwa wanaenda jukwaa la chelsea kuwaambia lazima wafungwe, Chelsea wameshinda wanakuja huku ety kuna watu wanaochukia 😂😂😂 kwahy mlivokuwa mnaenda kule hamkujua ni jukwaa gani.? Huo ndio ushabiki mandazi, kama mlifungwa fainali na imewauma chelsea kuchukua ubingwa bc tulieni na sio kuleta chuki zisizo na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…