Halafu sasa wameshinda against city lakin wanajazana huku na matusi na vipicha uchwara utadhani tulicheza nao.Kuna mashabiki wa timu pinzani mna mambo ya kipumbavu, mnaweza kufanya mambo bora zaidi ya kutania wazazi wa watu......mnang'ang'ania kwani humu ni vyumbani kwenu........as long as mnakuja kwa hoja na lugha chafu jamaa yupo sahihi kuwatukana.
Na sijaona sehemu Billions akimtukania mtu mzazi sio kama hawezi noo.
Mtu unakuta mara mapicha ya ajabu yana 300kb hata 20 hata maelezo hayana mara nyumbu etc mnaboa bhana.
mmechukua ubingwa hongereni mtulie majumbani kwenu sasa, mbona mashabiki wa Liverpool hawanaga mambo ya ajabu ya matusi hapa jukwaani.
Ni kweli mkuu, Utani kwenye mpira haukwepeki ila wao wameleta chuki humu ndani na sio utani tena, hata maana ya utani wa kishabiki haupo,Halafu sasa wameshinda against city lakin wanajazana huku na matusi na vipicha uchwara utadhani tulicheza nao.
Mi naona watulie tu pale mwamba anapowatukana.
Ole hana Objective wala Strategy ya kutufikisha popote.Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.
Tatizo la Ole anawaamini wachezaji wake kuliko anavyojiamini yeye.
Tatizo la pili anaamini kuwa United ilikuwa inashinda kwa miujiza hivyo mpaka sasa miujiza inatenda kazi.
A manager with a laissez faire Attitude cannot win trophies.
Siumeona sasa, kulikuwa na ulazima wa kuingizia matusi kwenye picha yako?......Yes mmechukua ubingwa so what? sisi inatuhusu nini? Mlichukua ubingwa baada ya kuifunga man u au hili ni jukwaa la chelsea?Mabingwa wa Dunia, kama unabisha kalia chupa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1802637
Wewe umeangalia eneo lipi la kufunga???Dahhhh yaan una compare Warner na lewandoski..Dahhhh am speechless
Hili limenishangaza sana hata mimi[emoji3][emoji3]Halafu sasa wameshinda against city lakin wanajazana huku na matusi na vipicha uchwara utadhani tulicheza nao.
Mi naona watulie tu pale mwamba anapowatukana.
Billions akiwatukana wanamlipoti kwa mods wkt wao ndio wagomvi, badala waende kwenye jukwaa la City wamekuja humu, hata kule kwenye jukwaa lao wanaongelea man u, inashangaza sana.Siumeona sasa, kulikuwa na ulazima wa kuingizia matusi kwenye picha yako?......Yes mmechukua ubingwa so what? sisi inatuhusu nini? Mlichukua ubingwa baada ya kuifunga man u au hili ni jukwaa la chelsea?