Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana niliowapiga miti wananitosha mana mlikua wengi madada ya villareal sasa ikanipa ugumu mana kila mtu alikua anataka mboro including you, nilkuona ulichukuliwa na jamaa fulan, mim nikabaki na wengine, kwaio jana nimewatafuna usiku kucha kwa furaha yao ya kuchukua ubingwa
Kwahy mlifungwa na wadada wa Villarreal.? 😂😂😂 Bila shaka walikuja na dildo mkasokomezewa ikatokea mdomoni ad mkafungwa.
 
Jana niliowapiga miti wananitosha mana mlikua wengi madada ya villareal sasa ikanipa ugumu mana kila mtu alikua anataka mboro including you, nilkuona ulichukuliwa na jamaa fulan, mim nikabaki na wengine, kwaio jana nimewatafuna usiku kucha kwa furaha yao ya kuchukua ubingwa
Umetumia nusu paragraph kuonyesha ulivyo empty
 
Dildo la nini kwenu na wakati tuna mboro sisi halali kwenu, si bado mna furaha, endeleeni kutugeuzia matako hayo tuendelee kukita shipa la kimkakati ngoma hadi jumapili hii ndio mtaondoka kwenye kinena
Sasa mbona ulishindwa kuchomoa dildo ya villareal
 
Nitakujibu baadae ngoja nimalizie kuwakita shipa la kimkakati mashosti wenzako walio na furaha kubwa ya ubingwa..wewe tuonane ile ile sehem yetu kwa ajili ya kukukaza tako hilo
Pamoja na kusokomezwa dildo pande zote naskia hamjafikishwa kileleni ndo maana mna huzuni kubwa
 
Mimi sio mpenzi wa Man u lakini kwani ni lazima kocha afanye mabadiliko ndio awe kocha bora? kwa mpira mpaka dakika ya 90 Man u walikuwa wanacheza vizuri speed nzuri sikuona sababu yoyote ya kufanya mabadiliko kinyume baada ya kufanya mabadiliko team ika slow.
wachezaji wanaposhindwa kuleta matokeo yaliyotarajiwa maana yake kuna wachezaji wameishiwa mbinu au wamechoka au for tactical reason ni lazima watolewe ili wengine wabebe majukumu ya kuleta matokeo kusudiwa na kocha pamoja na benchi lake la ufundi ndio wanaotakiwa kung'amua hilo.
Kama Rashford amechoka au ameishiwa mbinu au mkabaji wake kamzidi ket kila kona ni lazima atolewe ili aingie mwingine mwenye uwezo wa kuyasahihisha hayo madhaifu na ndio maana kocha anaruhusiwa kufanya sub 6 katika benchi la reserve list lenye wachezaji 12 kwenye final ambayo imeenda hadi extra time
AU Sub 5 kwenye benchi la reserve 9

Hiyo imefanyiwa utafiti na ndio maana hizo sheria zikawekwa. Normally timu iliyo kwenye advantage side wanaweza wasifanye sub tactically au wakafanya lakini kwa timu iliyo kwenye risk ya kushindwa ni lazima kufanya sub ili ku overcome uchovu, kuishiwa mbinu kwa wachezajji au for tactical reasons
 
Mimi sijakataa kocha anaanza na best 11 akiamini ndio kikosi bora ikitokea labda mchezaji hajacheza vizuri au kuumia unafanya sub na hii ya 6 ni hiki kipindi cha corona tu lakini tutarudi 3. Sasa kwa jana unamtoa Rashford kulikuwa nani nje? haya mambo unaweza kupata Man City walio nje ni bora pia Liver tu wana Diogo Jota basi anayeweza kubadili game. Sasa kwa jana nani angeingia badala. Barca kipindi cha Guardiola first 11 walikuwa walewale 90 minutes wanacheza mwaka jana Liver kikosi kilikuwa hata mimi napanga. Labda unaimbie wachezaji wa Man u viwango vidogo kama 11 wabovu basi ujuwe wa bench ndio kabisa. Nakupa mfano mdogo mchezaji gani wa Villareal anaweza kupata number Man u, na uhakika hakuna shida ya Man u kikosi bora kile kiliwekwa siku wanacheza na Liver na kutocheza mechi na Leicester ndio ilikuwa somo kwao kuwa kiwango bado wameingiza star wao wakapigwa 4 ndio uwezo wao ulifikia pale hii team makocha wote wamepita wameshindwa.
 
Wan Bishanga
IMG-20210527-WA0193.jpg
 
wachezaji wanaposhindwa kuleta matokeo yaliyotarajiwa maana yake kuna wachezaji wameishiwa mbinu au wamechoka au for tactical reason ni lazima watolewe ili wengine wabebe majukumu ya kuleta matokeo kusudiwa na kocha pamoja na benchi lake la ufundi ndio wanaotakiwa kung'amua hilo.
Kama Rashford amechoka au ameishiwa mbinu au mkabaji wake kamzidi ket kila kona ni lazima atolewe ili aingie mwingine mwenye uwezo wa kuyasahihisha hayo madhaifu na ndio maana kocha anaruhusiwa kufanya sub 6 katika benchi la reserve list lenye wachezaji 12 kwenye final ambayo imeenda hadi extra time
AU Sub 5 kwenye benchi la reserve 9

Hiyo imefanyiwa utafiti na ndio maana hizo sheria zikawekwa. Normally timu iliyo kwenye advantage side wanaweza wasifanye sub tactically au wakafanya lakini kwa timu iliyo kwenye risk ya kushindwa ni lazima kufanya sub ili ku overcome uchovu, kuishiwa mbinu kwa wachezajji au for tactical reasons
Narudia tena sheria sub 3 tu hii ya 5 kipindi hichi cha corona tu kwa maana hiyo kocha hatakiwi kukosea first 11 na pia kocha bora sio anayebadilisha wachezaji tu. Tumeona team kipindi cha kwanza wanacheza vibaya kipindi cha pili walewale wakabadilika. Mimi nataka wapenzi wa Man u tu waseme nani alikaa nje hakucheza jana. Kosa moja nakubaliana kocha hakutakiwa kumtoa yule mtoto Greenwood angetoka Rashford maana Mason uwezo wa kufunga anao na alikuwa tishio kwa kiasi fulani angebadili system tu Rash nje na kuingiza kiungo mmoja ila Pogba asogee mbele hilo ndio kosa lakini sio kubadili wachezaji wa 5.
 
Kwani sisi tunazungumzia kipindi gani, tunazungumzia kipindi hiki cha Corona, sub 5 kwenye muda wa kawaida na sita kwenye extra time
 
Tukiwa wakweli Man Utd msimu huu mlikuwa na kiwango kizuri ila sio cha juu So kumaliza msimu bila kombe mlistahili tu
 
Back
Top Bottom