Ila na wewe punguza kuteseka mbona unahangaika sana? Yaani unakosa raha muda wote makasiriko utasema umenyimwa mali za urithi mpira furaha sio makasiriko
Yaani kuna watu wanafikir kushinda hapa na kutukana kunaweza kupunguza kitu kwenye ile base ya manchester united hata urukeruke na matusi juu kamwe huwez kuangusha brand ya timu
Ndio yale ya jiwe kuwachukia matajir akifikir masikini watainuka
This young boy will be a top player in few years to come hasa akipata timu inayoposses mpira sana au ligi isiyotumia nguvu nyingi kama Spain in his development.
He is a talent worth having at your disposal huwa nashangaa kwanini United walitaka kutoa pound 30 milioni kumsajili Jude Bellingham.