Aiseeeh bora wapigwe leo waikose top four, alafu fainali UEFA wapigwe tena maana Wana mdomo sana[emoji23].
Yani TT ashindwe kupata mafanikio akiwa na kikosi kikubwa cha PSG aje atambe na Hii Cheltako?
wameingizwa mkenge na tapeli tuchel, siku sio nyingi wataanza kulikimbia jukwaa laotimu yao ya kike iliingia final wiki iliyopita ilicharazwa na barcelona wa kike chuma 4 bila
Kwani Kuna mtu anabisha hapa Chelsea hatuendi kubeba UEFA??
Kama hauna akili timamu basi utabisha.
Na tutawashangaza wengi.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Arteta mzee, umezingua hapo.Katika makocha waliopo kwenye ramani ya soka kwa sasa kocha wangu bora ni JURGEN KLOPP anafanya kazi ktk mazingira yoyote.
Wanaofuatia
Zinedine zidane
Mikel Arteta
Ole gunna solskjaer
Thomas Tuchel
Mauricio Pochettino.
Wengi mtashangaa Mikel Arteta kukaa hapo ana mbinu nzur sana hana bajeti anatunia nyenzo zilizopo mmiliki wa arsenal ndio anaemfelisha
Pep namuacha sijawahi kumuona akifundisha timu zilizoparanganyika na kuifanya timu moja matata kapita kwenye timu ambazo tayar zina misingi imara.
Arteta mzee, umezingua hapo.
Angalia Moyes, alichokifanya ndio utajua Arteta hakuna kitu pale.
Angalau kwa kikosi kile alitakiwe awe hata nafasi ya Tano.
Kwani Kuna mtu anabisha hapa Chelsea hatuendi kubeba UEFA??
Kama hauna akili timamu basi utabisha.
Na tutawashangaza wengi.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Halafu uniambie haturudi na bakuli na hata Fergie yuko kwenye msafara thubutuuuuuuuuuuuView attachment 1796787View attachment 1796788
Kama yeye ndio atacheza sawa
Anashangaza sanaIla na wewe unapunguza kuteseka mbona unahangaika sana? Yaani unakosa raha muda wote makasiriko utasema umenyimwa mali za ulisi mpira furaha sio makasiriko