Matokeo tunayo mfukoni hata usiwazeNilikuwa nafuatilia mechi baina ya Real Madrid na Villarreal, aisee hawa Villarreal ni noma sana. Sioni mkitoboa kwa hawa jamaa kwenye fainali ya ueropa league.
Labda kesho apumzishe kikosi chote kwani nafasi ya pili hakuna wa kututoaNilikuwa nafuatilia mechi baina ya Real Madrid na Villarreal, aisee hawa Villarreal ni noma sana. Sioni mkitoboa kwa hawa jamaa kwenye fainali ya ueropa league.
Hii picha nikiiangalia huwa inasisimua sn pale kina cr7 walipokuwa wanaenda kushangilia after the last penalty.
FA + Europa Cup post FergusonHii timu toka ferguson aondoke hawana wanalofanya ,wanarukaruka tu uwanjan na kutembelea historian za wanaume ...
Hovyo kabisa
Miaka 4 ,zero trophies
Cityzen chairman .!
FA + Europa Cup post Ferguson