Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Can't beleave last year we were underdog to them.El Matador nipigie hao scousers
Wacha bana ,huyo ni shabiki wa man uFinal na villareal gn, upo naye huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehehee huenda wewe ni mgeni humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha bana ,huyo ni shabiki wa man u
Sahabiki wa chelsea huyo ,anakuja kunipanda kichwan huku ili iweje sasa ..Hehehehee huenda wewe ni mgeni humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahaaa mtajuana wenyewe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sahabiki wa chelsea huyo ,anakuja kunipanda kichwan huku ili iweje sasa ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo anaitwa Papaa Gx a.k.a The boss1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sahabiki wa chelsea huyo ,anakuja kunipanda kichwan huku ili iweje sasa ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Klopp this time around mwenyewe amekubali..timu yetu ina quality..summer hii tukitulia kwenye kusajili msimu ujao tutakuwa moto.Can't beleave last year we were underdog to them.
Vyovyote itakavyokuwa Utd hawezi iacha Liverfool ipumue, yn Man utd kajifungisha mechi iliyopita kwasababu ya mechi ya leo alafu amuache hahahahaa leo ni vita mkuu, kadi nyekundu ipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwenye mechi hii natarajia yafuatayo yatatokea:
1. Liverpool ataibuka mshindi.
2. Patakuwa na mojawapo au zaidi: penati/goli lililokataliwa/kadi nyekundu.
Tusubiri tuone.Vyovyote itakavyokuwa Utd hawezi iacha Liverfool ipumue, yn Man utd kajifungisha mechi iliyopita kwasababu ya mechi ya leo alafu amuache hahahahaa leo ni vita mkuu, kadi nyekundu ipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jogoo ni Totenham mkuuKazi ya kuchinja jogoo leo.
Nina uhakika hujawahi kuiona united ikibeba ubingwa wa EPL mpira umeujua 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..
Unafuatilia wanaume tuaoenda kusimamisha dunia may 2021 ...
Mtu wa kuongea na mimi ni chelsea tu ..