D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Brandon chenga ilesijawahi kumuelewa brandon williams kiuchezaji
bwana mdogo ajiangalie sana, kuna moto wa hatari unamnyemelea.
Anaitwa alvaro fernandez. tumemsajili real madrid msimu huu kiuchezaji
View attachment 1777426
Ndo ya kwanza hii esabu mkuu..zitakuja nyingi tu..Tuchel ana UEFA ngapi?
Wakuu, kwa mlioangalia mechi ya juzi, naomba kujuzwa kuhusu van de Beek.
Nimeona kwenye page ya Facebook ya Man Utd, watu wanamemponda sana.
Je ana potential yoyote?
Mfumo wetu haumfai?
Au tumepigwa za uso
Angalieni huko wale matakataka ..wamelalwa Tena ..bado game moja tumalize mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Hamna potential hapa..auzwe tu kijana wa watu.Wakuu, kwa mlioangalia mechi ya juzi, naomba kujuzwa kuhusu van de Beek.
Nimeona kwenye page ya Facebook ya Man Utd, watu wanamemponda sana.
Je ana potential yoyote?
Mfumo wetu haumfai?
Au tumepigwa za uso
Dogo punguza shobo huku kuna maboss wako wa kesho.Oya nyie nyumbu, Chelsea tunaomba mechi moja ya ligi kama nyongeza ila point zote 3 zitakuwa zenu hata kama Chelsea tukishinda.
Sasa mambo ya kuomba kazi na ushabiki wa mpira umeingia hapa vipi.?Dogo punguza shobo huku kuna maboss wako wa kesho.
Au umeshapata kazi tayari ?
Pep ni tunda la Messi. Baada ya kuondoka Barca UCL hawezi shinda na jana mmeonjeshwa joto la jiwe muziki unakujaKuna mzoefu wa final kama pep ? ...
Mpaka sasa kashapoteza final moja tu ,na penyewe ilikuwa na mpaki bas morihno ,hao wengine ni kusambaza kichapo tu
Acha shobo na ushabiki mandazi wa kutumia lugha zisizo na staha.Sasa mambo ya kuomba kazi na ushabiki wa mpira umeingia hapa vipi.?
Sawa boss nakutegemea unisaidie kazi.
Amekuwa mpole msamehe mkuu. Hahaa.Acha shobo na ushabiki mandazi wa kutumia lugha zisizo na staha.
Javier Hernandez..Little Pea.β [emoji991] Trademark πͺπππππππππ βΈβ
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1778405