nyumbu akili hamnaHivi mechi na Liverpool itachezeka lini?
Hii ni ratiba ya timu zote mbili.
May, 6 Roma vs United - EL
May, 8 L'pool vs Soton - PL
May, 9 Aston Villa vs United - PL
May, 12 United vs Leicester - PL
May,16 West Brom vs L'pool - PL
May, 19 United vs Fulham
Burnley vs L'pool
May, 23 L'pool vs Palace
Wolves vs United
May, 26 EL final
* PL - Premier league
EL - Europa league
Hawaponi hawa na wale wenzao wa livaMan Utd have given Glazers more money than the actual amount they spent on transfers.
£1.07bn vs £1.01bnView attachment 1773071
Hivi Jose bado anataka kuthibitisha nini kwenye ulimwengu wa soka baada ya mafanikio aliyokwisha yapata?kumekucha jamani
José Mourinho is the new AS Roma manager. He has signed until June 2024. Maurizio Sarri has never been an option
pande zote mbili zinahitajiana kwa dhumuni la kurudishiana heshima iliokwisha potea, As roma na wamiliki wao bila ya shakaHivi Jose bado anataka kuthibitisha nini kwenye ulimwengu wa soka baada ya mafanikio aliyokwisha yapata?
Kimbinu,namuona kama hana jipya baada ya kuibuka kwa kundi la mameneja wengi vijana wanaofundisha soka la mbinu pamoja na burudani.
Kama ilivyo kwa Pep,nguvu kubwa ya Mou iko katika matumizi makubwa ya pesa ili kutengeneza timu ya ushindani. Kwa Roma hii pamoja na vilabu vingi vya serie A,kwa sasa uchumi wao hauwezi kumbeba kufanikisha hilo.
Kwa sasa uchambuzi ungemfaa zaidi.
Afadhalikumekucha jamani
José Mourinho is the new AS Roma manager. He has signed until June 2024. Maurizio Sarri has never been an option
Kuna article inaelezea jinsi wamarekani walivyo owners wabaya.Hawaponi hawa na wale wenzao wa liva