D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Sema Socha ametuimprove kimtindo..anakosea kutafuta ile final spark..either kimbinu au kwa rasilimali watu.In 302 games from Moyes to Mourinho, Man United scored 5+ goals in a game twice. In 144 games under Solskjaer, it’s now happened nine times.
nataka waende europaTukimfunga Liverpool jumapili na kumpigia mpira mkubwa nitafurahi sana.
Huyo anatakiwa kupewa japo 3yrs.Good news, Cavan kaextend mkataba wakeView attachment 1769170
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ila mkuu unanishangaza kwa jina na avatar yako.nataka waende europa
Daemusin
alizungumza tarehe ya jana miaka 25 iliopita, gazeti likapatikana leo.
Fergie alikuwa mbabe sana kwenye vita ya maneno, nimeikumbuka interview ya rafael benitez msimu wa 2008/09........Mr ferguson blah blah
baada ya hapo ni mwendo wa kupoteza points
View attachment 1768565
Je yupo nafasi ya ngapi? ameahinda mechi ngapi na amepoteza mechi ngapi?...... Tutumie statistics tuone nani ni bora.Villareal ni bora kuliko man u. Usiangalie jina
Nahisi ila ngoja aje kujibu