sisi man utd hatuna timu ya kupambana na real madrid, jana mulikuwa munatengeneza triangle za hatari pindi munapoizika pressing yao.
- pasi za haraka
- mabadiliko ya haraka ya mpira
- mara kibao muliwafanyia counter attack za kihuni
kiufundishaji bwana thomas tuchel amefanya mabadiliko mazuri ndani ya muda mfupi