busara inahitajika sana kwenye hili pambano linaloendelea, FIFA na UEFA wakae chini wajadiliane na hao jamaa walioushikilia mchezo wa soka kwenye mikono yao. kwangu naamini tatizo kubwa lilianzie pale waliporuhusiwa matajiri wawe na umiliki mkubwa wa hisa kwenye hivi vilabu
=========
anaandika
Mohamed Bouhafsi, mmoja kati ya waandishi maarufu sana pale ufaransa na duniani kwa ujumla
Last night, when 12 big clubs of the Superleague announced resignations from ECA (association of European clubs). They also resigned from all UEFA committees and panels with Agnelli leaving the ECA management, Nasser Al-Khelaifi becomes it’s executive boss.
========
kwa nini PSG wamesusia huu mpango, nadhani ni kwa sababu hizi zifuatazo na si kwamba waarabu wao ni watu wanaofuata maadili.
- kombe la dunia linafanyika Qatar 2022
- bein sport ina hati miliki kubwa ya kuonyesha michuano ya Uefa, wamiliki wa PSG ndio wanaoishikilia bein sports