Mourinho jana alisema kuwa timu yake haikupaswa kufungwa..sasa mtu unajiuliza ni kitu gani walifanya cha maana kwenye ile game?,unaona hamna chochote..huyu mtu amekuwa mbwa asiye na meno.
Huyu jamaa kum-analyse ni kazi kubwa sana..Martial.
Huyu jamaa ni kwamba ana psychological issues.??
Ona hapa.
Kila anapoletwa mchezaji ambae ana compete nae nafasi, performance yake huwa inashuka.
1.Kabla ya Sanchez kuja, mambo yalikuwa mazuri. Ila baada ya hapo.......
2. Kabla ya Cavan kuja, kuna watu kwa ujinga wetu tuliamini hakuna haja ya Harry Kane, Martial anatutosha. Ila sasa kilichotokea msimu huu ni aibu.
3........hii ya tatu ni ujio wa zlatan.
Sent using Jamii Forums mobile app
hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingineMaana yake hawezi competition sasa tutaishije na striker mmoja tu timu kubwa kama United.
Sehemu pekee ambayo hawezi kucompete ni kwa mkewe tu
Jones tulishamzungumzia sana humu kuwa kama hauziki wamwachie akajitafutie timu huko mtaaniJones msaada ndio anao
Ndiyo msaada anaoJones msaada ndio anao
Ni kweli Anthony Martial ni wakati sasa wa ama akubali kukaa benchi au atafute timu inayoweza kuruhusu striker kutaka acheze peke yake.hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingine
Dogo huwa anacheza utadhani timu ni ya baba yake tu
33 tayari kasahulika kitambo sana..alitundika daluga nini?
Game 181 ana makombe 9
33 tayari kasahulika kitambo sana..alitundika daluga nini?
Jordan Pickford ana makosa mengi sana ya kiufundi ukimlinganisha na golikipa yeyote yule EPL toka ajiunge na Everton mwaka 2017. (Errors leading to goals, 17)Nafikiri vingi vinambeba ila Pickford ni proactive kuliko Dean