Mourinho alianza maneno ya chombo kuwa gemu zilizopita tulibebwa na penalts..aya sasa kiko wapi?
*** him na pira lake la hovyo.
Kama Yanga vile


Yes.Inamaana Dean ndo kaishamuweka David Benchi?
Uzee unamnyemelea. Lazima awe second goal keeper au aende Italy au Germany.Yes.
De Gea ana makosa sana.
David ni mzee?Uzee unamnyemelea. Lazima awe second goal keeper au aende Italy au Germany.
Numbisa hemu tupe slow motion ya hii episode.Solskjaer, [on the Son foul] “We shouldn’t be conned, but I have to say if my son stays like that for three minutes and needs ten mates to help him up, he won’t get any food.”
😛😛😛
Vipumbavu kweli..Maguire na Shaw wameninyooshea sana hawa wajinga..kidogo tu vinadondoka na kuanza kumlilia refa..Atakuwa aliiba mbinu za Granada kuguswa tu kachezaji kanagalagala chini na refa kutoa kadi
Okay,,it's about time sasa Maguire ampishe kitasa Phil Jones..au unaniambiaje mkuu?Nilimsikia OGS anasema advantage kubwa kwa man u this time around ni kwamba hawana majeruhi wengi, na kweli nimeona statistics za leo, zero treatment
hahahaha, Maguire anapaswa ampishe nunda.Okay,,it's about time sasa Maguire ampishe kitasa Phil Jones..au unaniambiaje mkuu?