Ole naye ni msen.ge tuBora tufungwe tu Ole afanye usajili wa maana.Man inahitaji class players kama wanne.
Weee kumamakoh kaa kimya ..ni nini unajitingisha matako mwanaume kisa man utd kafungwaNYUMBU KAMA NYUMBU
Mzee wa double pivotKapuuzi sana ka Ole..kwa mentality ile hawezi kutupa makombe hata akipewa nguvu kwenye usajili.
Hawa tuko nao sawa. Lugha yetu mojaPost za English hamna kabisa huku, ukienda livakuku English unaipata wakishinda ila wakifungwa wanabonga Kibantu mwanzo mwisho
Huyo kocha wenu hawezi kufikisha timu yetu popotezile sub 4 kwa mpigo nilijua tu mpira utachangamka kwa dk 5 tu halafu mambo yatakuwa vile vile ndo kilichotokea we kuanzia dk ya 1 mpaka ya 60 mpira umechezwa wa aina moja tu (haueleweki).
mnaotaka Ole apewe heshima yake ni kweli tunampa hiyo heshima lakini anajiondolea mwenyewe hyo heshima.
yani kocha ameshakariri hata akicheza na weak opponent bado atacheza na wakabaji wawili katikati, game ya Milan kamchezesha Pogba left side na akapafom vizuri kwakuwa ni mkaririji mzuri na leo akaingia nae hivyo hivyo.
Fred, Matic, De Beek, Pogba kwa kocha aina ya Solskjaer unategemea atafanya maajabu kweli??
Jasusi MbobeziJesse' Lingard arudishwe haraka sana..
Oyaa haukutoa utabiri nini ..naona ulipotea au ulijua kitakachotokea nini
Mimi sio muumini wa mechi moja..
Lkn angalia pia mmetoka alhamisi kucheza futuhi Milan ...mkapumzika siku 2 ..so hapo lzm afanye rotation Tu kuwapa nafasi na wengine waonyeshe chenye wanachofanya😂......BTW hao kina telles na vdb mlikuwa mnawapigia chapuo kweliOle naye ni msen.ge tu
Mechi ya kwenda nusu fainali unaanza na Telles kama full back dhidi ya Leicester?..unaanza na kilaza VdB??..Kweli?..Matic??
Na wiki ijayo hakuna mashindano..ni international break..unapumzisha watu..
Kaka ulisema ni vyema sana Ole kuongezewa mkataba mara unatuita wachawi tena.Wachawi wamepata la kuongea.