FredSawa wachezaji wanazingua ila sosha nae anachangia tukipoteza leo


Ndo kawaida yake mbona sio kitu cha kushangaa, na uhakika hajui afanye sub gani.Hivi sosha ana akili kweli?kwanini hafanyi sub?
Van de beek yeye akae bench tu ndo panamfaa
Tukipita tutakuna na soton while chelsea watacheza na city
Leicester tumeongeza la tatu































