Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni heri Eric Bailly aondoke ili Man United waingie sokoni kutafuta beki mwingine mzuri na asiye na injury records kama Bailly.

Ni ngumu sana kuwa na kikosi imara kama wachezaji wako wengi wanatumia zaidi ya nusu msimu kitandani kutibu majeraha.
Umri ni tatizo kwa jamaa
 
Ole kaanza hivi

Henderson

AWB Lindelof Maguire Telles

Matic Fred

Greenwood VdB Pogba

Martial
 
Maguire huyu jamaa sjui wa wapi? Sasa unampaje mtu pasi kwenye penalty box wakati nyuma yake kuna mtu na hawezi ku turn ? Yeye ndo anayeona mbele Fred hana macho kwenye kisogo yani jamaa useless kabjsa
 
Van de beek amefeli hawezi kubadilisha kiwango chake hata kukimbia ni shida.....Martial shida, matic umri umeenda....fred anamisplace pasi nyingi, maguire shida....hatuwezi fika popote na hao watu
 
Hivi Huyu OGS huwa ana matatizo ya akili nini mpuuzi huyu, inamaana hajui hata kupanga kikosi kwa ajili ya mechi muhimu aiseeeee. Yani kwenye mechi muhimu zote huwa anazingua kupanga kikosi. Unaanzaje Fred+Matic wakati kati yao hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kupiga pasi zinazoeleweka.
 
Back
Top Bottom