Granada tricky but we will wave the storms
Inashallah tusubiri tuone. Hili kombe timu ikikaza. Tunachukua kweupefinal
Manchester United V Villarreal
Kibonde hawezi fika robo final.Mmepewa kibonde granada
Wanaume tumepangwa na Porto, nyie mpo na granadaKweli mpira ni akili
Mkalimwe na ajax/ac RomaKibonde hawezi fika robo final.
Ngoja tumpasue tuingie nusu.
Gerald Peque alikuwa anawaza kwao tuu.★Thirteen years ago today, Cristiano Ronaldo captained Manchester United for the first time
United won 2-0. Ronaldo scored twice★
#GGMU
manutd |View attachment 1729490View attachment 1729491
Kumekuchaaaaa
Mechi ngumu hii ila kwa injury walizonazo kikosi cha The Foxes naamini tutafanya jambo.Wazee leo vipi??,,tunawafurusha Leicester City kunako Fa Cup?
GGMU
Na mtu mzima Pogba amerudi,inabidi tusogee nusu fainali..Mechi ngumu hii ila kwa injury walizonazo kikosi cha The Foxes naamini tutafanya jambo.
Cha msingi Ole asituangushe kwenye squad selection, mzee mzima Cavani kama vipi leo aingie kwenye kikosi hata bench tu.
Kafa nyingi tuNa mtu mzima Pogba amerudi,inabidi tusogee nusu fainali..
Vipi dogo Brooks?,jana wamepokea kichapo dhidi ya Soton
The Cherries🍒 moto umezima, walianza ligi vizuri kwa kugawa dozi sasa hivi hata Championship play-off hawatacheza. Kutolewa na The Saints kwenye FA ni dhahiri bado hawapo tayari kurudi PL, moja ya timu mbovu PL currently ni Southampton.Na mtu mzima Pogba amerudi,inabidi tusogee nusu fainali..
Vipi dogo Brooks?,jana wamepokea kichapo dhidi ya Soton
Ni heri Eric Bailly aondoke ili Man United waingie sokoni kutafuta beki mwingine mzuri na asiye na injury records kama Bailly.★Kazi nzuri sana Eric
Ujue muda mwingine heshima iwepo kwa hawa wachezaji wanojituma na kujitoa kwa kila kitu kwaajiri ya timu husika mimi sitamlaumu kama ataenda wala akibaki ni Maamuzi yake★
Not a bad idea..Tunaweza kumsajili Kounde,tukawa vizuri zaidi tofauti na tulipo.Ni heri Eric Bailly aondoke ili Man United waingie sokoni kutafuta beki mwingine mzuri na asiye na injury records kama Bailly.
Ni ngumu sana kuwa na kikosi imara kama wachezaji wako wengi wanatumia zaidi ya nusu msimu kitandani kutibu majeraha.