Game tumeipoteza wenyewe..ilikuwa ya kushinda hii..David inabidi awe anafanya subs za maana..Giggs siyo mchezaji tena wa kuingia wakati timu inasaka ushindi huku Kagawa na Zaha wakiwa benchi...
Hatugombani ila washabiki wakuta timu ishinde isiposhinda basi kocha afukuzwe hatuwataki hapa ndo hawa hawa hata wakati Ferg yupo timu ikifungwa tu wanaanza kupiga kelele Ferg kazeeka aondoke