Hawa wanatakiwa kulegezwa bado mapema
Kweli...timu inacheza vizuri so far..ila inahitaji kuongeza mashambulizi...kipindi cha pili akiingia Kagawa..
Tom angesaidia sana kiungo angekuwepo Fellain hana speed
Kuumia kwa Tom si ndiyo kumepelekea Fellaini asitishe operesheni yake...Kagawa ataleta hiyo speed..
Sio rahisi kocha kumwingiza Kagawa kwenye nafasi ya Fellain kwa kuwa Kagawa Si mzuri sana kwenye kukaba vinginevyo Rooney arudi kucheza kiungo hapo kuna possibility kubwa ya kuingia Giggs akitoka Fellain