Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa wale tusioridhishwa na kazi ya Ole tujiandae kwa mitatu tena pale OT.
Sababu ya kupewa mkataba mpya ni Ku restore DNA ya Manchester united kwenye kikosi chake pamoja na kucheza attacking football kitu kilichowashinda mourinho na Luis van Gaal.
 
Kwa iyo nina miaka mitatu ya kuandika tu
Bado hajafukuzwa tu
 
Hivi Ole huwa sub anazo za kazi gani?? Maana huwa hatamani kabisa kufanya au hajui afanye sub gani? Anasubiri dakika ya 85 aingize kina Tuanzebe wakabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…