Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa haya maelezo yako,nitake radhi mana kuna kipindi tulicheza kama sikosei na Wolves tukashinda na baada ya mchezo nikatoa maoni yangu juu ya ubingwa ulipinga na kuniita mjinga. Naona Leo umejiunga na kundi langu la ujinga. Sasa wewe unaweza kuwa mjinga zaidi yangu!
 
Ha ha ha ha ha duuuu umechafukwa sana. Ofcorse hata Mimi siamini kama man u wana hela ya kumnunua mtu Wa hivi!
 
Mhhh! Mpira wa Ferguson na Pep upo tofaut sana, ule mpira wa OGS ndio mpira wa Ferguson, Jamaa kakop kila kitu kwa babu fergie
Mbinu zinakopiwa mdau na sio soka ili aweze kumaintain epl halafu anaongezea vitu vyake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…