upo sawa kabisa lakn ebu niambie ww yale makosa anayo fanyaga ya Maguire unataka kusema kocha anausika au ni uwezo wa mcheza binafsi na kuto kuwa makini
Mwambie ukwel huyo jamaa, City katuzid kila eneo, labda ile beki yetu ya kushoto na namba 10 yetu ndio inawazid ubora, ila baada ya hapo hamna kitu
Ndio inabid apewe muda sasa, mbona hata klop alisuka kikos miaka 3+ wa 5 ndio kaja kuchukua kombe, Tumpe MudaSasa Ole ndo inabidi afanye uliyosema na mwishoni tubebe kombe..
Kusema kuwa anamtengenezea mtu mwingine timu ni kudanganyana tu..na mfano wa Madrid na Zidane hautoshi kutuaminisha hili.
Alikuwa anapanga kikoc anavyojisikia na kuweka mbinu zake za ajabu na anashinda, ila sasa hivi kikoc cha Morinyo kile kishapotea na hamna aliyetengeneza kikoc tena pale, mchek anavyohaha na kupigwa ovyo kweny mechi zake, mpka utashangaa eti ndio yeye aliyechukua UEFA mara 3 mfululizo[emoji1787][emoji1787]Mambo hayakua yanatiki matunda yake ndiyo unayaona sasa hivi.
Nina wasiwasi pep anaangalia sana cd za Fergie enzi anatawala eplWe jamaa kwl nimeamini Unashida mahali Yaan unaweza kulinganisha beki mwenye akili Kama Ruben Dias Eti na Harry maguire kwl? laporte na linderlof Dah ebu acha utani hivi unafaham toka city wamsajil Ruben Dias hawajapoteza mech hata moja kiufupi kombinesheni ya mabeki ya man city na midifield wao wako kwny form man city haitegemei forward ndo maan ukiangalia gem za hivi karibuni Gabriel Jesus anawez acfunge ila Ruben au johnstones akafunga.
Man city imekamilika ndo sababu wamecheza mech 21 bila kupoteza nirekodi Ambayo pep hata alipokuw Cataluna hajawah kuifikia. Acha man city itambe niwakati wake
Zizou lofa sana na kosa kubwa alilolifanya ni kurudi tena kuifundisha ile timu akaja kubeba ndoo kwa kubebwa mechi za mwishoni mwishoni.....Alikuwa anapanga kikoc anavyojisikia na kuweka mbinu zake za ajabu na anashinda, ila sasa hivi kikoc cha Morinyo kile kishapotea na hamna aliyetengeneza kikoc tena pale, mchek anavyohaha na kupigwa ovyo kweny mechi zake, mpka utashangaa eti ndio yeye aliyechukua UEFA mara 3 mfululizo[emoji1787][emoji1787]
Utakuwa na mataizo ya akili Ederson ni noma hadi ana Assit Degea ni overratedMkuu hata hapo kwa namba moja wao ilitakiwa akae de gea,jamaa mweupe sana na anabebwa na city kutoshambuliwa mara kwa mara.
Na hata mashambulizi hayawi makali sana kama anayopitia dave baada ya chujio letu kutoboka pale back 4.
Angalia anachopitia Allison pale anfield.
Mhhh! Mpira wa Ferguson na Pep upo tofaut sana, ule mpira wa OGS ndio mpira wa Ferguson, Jamaa kakop kila kitu kwa babu fergieNina wasiwasi pep anaangalia sana cd za fergie enzi anatawala epl
CD gani alizo mdharirisha fainali 2011 au?Nina wasiwasi pep anaangalia sana cd za fergie enzi anatawala epl
Ndio maana mashabiki wa man u wanaonekana maboya boya.Mhhh! Mpira wa Ferguson na Pep upo tofaut sana, ule mpira wa OGS ndio mpira wa Ferguson, Jamaa kakop kila kitu kwa babu fergie
Kwanin?Ndio maana mashabiki wa man u wanaonekana maboya boya.
Fuatilia mada za humu mtajiona mlivyo emptyKwanin?
Fred ni DM wakati Thiago ni CMnaomba uongezee na hili Greenwood anayecheza right wing kama chaguo namba moja kwenye kikos bado anauwezo mdogo performance yake ni kwa match chache sana pengine tunahitaji usajili kwenye eneo hilo
Ukiangalia midfielders ambao tunao yaan namba 6 na namba 8
ambao kwa sasa n fredy na mactomy sio wapiga pasi wazuri ambazo zingeweza kuandaa timu vizuri kwenye mashambulizi wote wanaasili ya ukabaji pengine labda akiwepo pogba ndio unaona tafauti maana yy n world class....hvyo kwa haraka haraka tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kufanya hyo kazi mfano mzuri angalien uchezaji wa Tiago liverpool anapanga timu kwa pass na nimkabaji pia lakn huwez mfananisha na fred wetu pale yy yupo vizur zaid kwenye ukabaji tu kitu kinacho pelekea bruno apate wakat mgumu muda mwingiii asipokuwepo pogba
Kumbuka pia Bruno na Pogba partnership yao imeshafeli kwa sababu timu inakosa ulinzi kwa sababu Pogba ni reckless.naomba uongezee na hili Greenwood anayecheza right wing kama chaguo namba moja kwenye kikos bado anauwezo mdogo performance yake ni kwa match chache sana pengine tunahitaji usajili kwenye eneo hilo
Ukiangalia midfielders ambao tunao yaan namba 6 na namba 8
ambao kwa sasa n fredy na mactomy sio wapiga pasi wazuri ambazo zingeweza kuandaa timu vizuri kwenye mashambulizi wote wanaasili ya ukabaji pengine labda akiwepo pogba ndio unaona tafauti maana yy n world class....hvyo kwa haraka haraka tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kufanya hyo kazi mfano mzuri angalien uchezaji wa Tiago liverpool anapanga timu kwa pass na nimkabaji pia lakn huwez mfananisha na fred wetu pale yy yupo vizur zaid kwenye ukabaji tu kitu kinacho pelekea bruno apate wakat mgumu muda mwingiii asipokuwepo pogba
Pogba kawafanyia makubwa kuzudi uyo bruno.Kumbuka pia Bruno na Pogba partnership yao imeshafeli kwa sababu timu inakosa ulinzi kwa sababu Pogba ni reckless.
KwahiyoPogba kawafanyia makubwa kuzudi uyo bruno.
Acheni kuwa watu wa mihemukoKwahiyo
Pogba>kdb[emoji849][emoji849]Hapo De Gea mmemwonea
Ederson hawezi mweka benchi De Gea
Middle ilitakiwa Rodri,Bruno Fernandez na Pogba