Frank Rijkard hana uwezo wa kudhibiti nidhamu kikosini. Barca squad ilianza kugeuka genge la wahuni. Mpira mzuri bila discipline hauleti mafanikio ya kudumu. Sishangai hajawahi kupata tena timu.Frank Rijkaad toka afukuzwe Barcelona hajawahi kuwa na mafanikio yoyote tena zaidi ya kuwa busy body tu.
Diego Simione aje apaki basi ?
Katika kikosi chetu kuna wachezaji wawili au watatu tu wanaoweza kucheza katika mifumo Simeone
Ronaldo na lewandoski ndo wanaongoza kukosa big chances msimu huu hiyo inakupa taswira gani? Timu isiyotengeneza nafasi haiwezi kupata magoli hata kama maforward wawe wazuri. Unajua man cty anavoshinda goli nne anakuwa kaattempt ngapi? Hivi rashford na sterling nani anakosa magoli mengi zaidi kwa msimu? Basi mkijiuliza hayo mtajua tatizo liko wapi hapo.Mkuu haya yote uliyosema yasingelikuwa na mashiko kama yale magoli anayotunyima Rashford yangeingia nyavuni.
Mbona hakubebwa benitez. Zidane alijua mazingira ya timu yake akatumia ubora na kuutacke uzaifu wao nd timu inakuja kufanya vizuri. Sas huwezi kuwa na kocha boya kama solkjaer umtegemee Rashford akubebe haiwezekani. Halafu hao akina Ronaldo wametengenezwa man u chini ya watu wa maan walijifunza mpira bila presha. Sasa wanachokipitia hawa madogo ngekuwa mm ningesepa na ndo maan wachezaji wanakataa kuja.Kwa mwenendo huu wa Rashford pamoja na mwenzake Martial,nadhani ni wakati muafaka wa kuirudisha mezani hoja ya uwezo sahihi wa hao madogo wawili kama kweli wanaweza kutubeba msimu ujao au tunaendelea kucheza kamari na kumuachia Pep atuadhilishe atakavyo.
Ningependa kuona madhaifu ya mwalimu yanafichwa na ubora wa wachezaji wake kama alivyofanya Zidane na Madrid yake kabla CR7 hajawa historia pale bernabeu,lakini mapenzi ya Ole kwa hawa vijana ndio yatamfukuzisha pale OT.
Hao Ronaldo na Lewandowski wanakosa goli nyingi na wanafunga goli nyingi, kubwa mchoyo lkn uwe una deliver, ss unakuwa mchoyo alafu kufunga hujui ndo matokeo yake haya.Ronaldo na lewandoski ndo wanaongoza kukosa big chances msimu huu hiyo inakupa taswira gani? Timu isiyotengeneza nafasi haiwezi kupata magoli hata kama maforward wawe wazuri. Unajua man cty anavoshinda goli nne anakuwa kaattempt ngapi? Hivi rashford na sterling nani anakosa magoli mengi zaidi kwa msimu? Basi mkijiuliza hayo mtajua tatizo liko wapi hapo.
Mkuu PTER nini maoni yako kuhusu nafasi ya Ole kuifikisha manchester kwenye glory days tena?Frank Rijkaad toka afukuzwe Barcelona hajawahi kuwa na mafanikio yoyote tena zaidi ya kuwa busy body tu.
Diego Simione aje apaki basi ?
Katika kikosi chetu kuna wachezaji wawili au watatu tu wanaoweza kucheza katika mifumo Simeone
Mkuu tunaongelea hali ya sasa ya timu yetu,ni kweli uongozi una shida na wala hatukuwa na matumaini ya kubeba ndoo msimu huu. Ikatokea wapinzani wako wakuu WAMETELEZA unashindwaje kuitumia hiyo nafasi kufanya vizuri zaidi?Frank Rijkard hana uwezo wa kudhibiti nidhamu kikosini. Barca squad ilianza kugeuka genge la wahuni. Mpira mzuri bila discipline hauleti mafanikio ya kudumu. Sishangai hajawahi kupata tena timu.
Wasichojua mashabiki wenzako wengi ni kuwa tatizo kubwa zaidi la timu yenu siyo makocha bali structure ya uongozi wa klabu. Ilivyo sasa hivi wanaofanya vetting kwa machagulio ya kocha ni watu wa scouting! Hao ndiyo humpa Woodward jibu la kwenda kumpa kocha!