Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manure sio ndugu yako ukiona anakutesa hamia kwenye raha tu
 
Msimu huu hata kufikisha point sabini hatuwezi..sasa si utopolo tu huu kama wa misimu iliyopita?

Hii timu ina matatizo sana..tukipata mkurugenzi wa ufundi kichwa hata benchi la ufundi litaimarika na sio kujaza amateur coaches ambao hawana mbinu,ufundi wala style of play.
 
Hiyo nafasi ya Pili nayenyewe soon mnaikosa

Man utd kutoka top four msimu huu siona ajabu ...!
 
Hili swali nilishauliza sana humu ndani halijatolewa jibu.
Ze-dudu mwenyewe huwa hajibu sasa sijajua huwa anataka afukuzwe timu ibaki bila kocha sijui.
Hapa[emoji116][emoji116] ndipo panapomzingua @ze-dudu
" we should not be considered even title chasers"

This statement shamelessly ended our season.
Hii [emoji3516][emoji3516] statement ya kiboya sn hii mkuu.
 
[emoji849][emoji849]
 
Alipomtoa cavan na kumuingiza james kweli niliona kituko sana
aliulizwa kwanini hukufanya sub ya 3

alijibu hivi "katika dk 10/15 za mwisho nilifikiria kumuingiza Amad au Shola na kumtoa Rashford, Bruno au Greenwood ila ktk dk zile nilifikiri kuwa kati ya hao mmoja wao anawezakupata goli"

huyu ndiye kocha mlienaye.
 
Kama ni hao ulioewataja basi hakuna kocha sokoni anayeweza kutuondoa hapa tulipo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ama kwely tim imeoza ad inafka wakat mnamtaman kocha alieko namba 10 kwenye msimamo wa ligi au mnaionea wivu aseno ikiwa kule chini[emoji23][emoji23][emoji23] mnaiona inafaidi eeh
 
Nishajibu huko juu.....kutoka kuongoza ligi kwa pointi moja hadi kupinduliwa kuongozwa wewe kwa pointi 14..... Hata kichaa hawezi kukuelewa hapa
Unaweza kututajia mmoja ambaye atatutoa hapa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…