Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushindi wenu etihad ni kupoteza na kutupa point tatu kwa hiali kabla hatujawapelekea moto ..!
 
Saizi man utd wako wanafanya mazoezi ili waje kufungwa na city jumapili ..!

Life is not fair
 
hata tulipofika kwa washambuliaji wetu tulionao ni afadhali, uko na rashford anapata mpira wa kusukuma ata kwa upepo tu uingie, anaanza kuvuta mpira kududi nyuma, anamtafuta martial ambaye anakua kama anasubiri mpira umfuate (poor positioning) tunahitaji clinical finishers kuliko hawa tulio nao, ndio tunatengeneza nafasi za kutosha lakini tunamtengenezea nani hizo nafasi?
 
Lingard ni "super sub" anayeweza kukupa vifuatavyo;

1. Maamuzi ya papo kwa papo (ni mwepesi kufikiri haraka). Muda wote wa mchezo akili yake iko pale.

2. Anajituma. Atakupa
kila dakika.

3. Ana kasi muda wote. Hivyo ukimwingiza dk 30 au 20 za mwisho atawakimbiza sana mabeki waliochoka. Unamkumbuka Ji Sung Park?

4. Hachoki kukaba. Hivyo dk za mwisho ikiwa unataka kulinda matokeo atakupa advantage kiulinzi na kiushambuliaji (counter attacks).

Wasiomjua vema Lingard (akiwemo kocha) wanaangalia udhaifu mmoja tu alio nao; "quality". Pamoja nakujituma sana kijana hana ubora mkubwa miguuni. Hawezi kupiga chenga hata moja one on one.

Hivyo ni makocha wanaojua tu wanaoweza kumtumia vema. Kumtoa Lingard na kuwaacha James na Mata kunaonesha kiwango cha kocha kikoje.

Lingard amewasaidia kuua michezo kadhaa ukiwamo ule wa City.
 
Martial hauziki kirahisi. Mbali na kuwa kipenzi cha kocha ni kipenzi pia cha Ed Woodward kibiashara. Ukiacha kuwa kipenzi cha mashabiki na hivyo kuuza sana, deal yake kutoka Monaco inaipa disadvantage United mauzo yanapofanyika.

Akiuzwa United na Monaco zitagawana pasu kwa pasu faida yoyote inayopatikana kwa kuzingatia bei aliyonunuliwa. Ni kama ilivyo kwa deal ya De Gea na Atleti. Hivyo wapenzi na mashabiki mjifunze tu namna ya kuishi na vijana hao.

Kuhusu Rashford pale ndiyo kwao.
 
Bado hajafukuzwa tu...
 
Inter Milan failed to pay #mufc a bonus for the Romelu Lukaku transfer, triggering a clause that will force them to immediately pay the remaining fee of the deal. United are asking for Lautaro Martínez or Milan Škriniar to balance the deal. [
@CorSport
]
 
Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.

Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?
 
Kwn nyie mnaosema Man utd haimiliki mpira mnaiangalia ktk angle ipi?
 
Leo umeongea mkuu.
 
Kwn nyie mnaosema Man utd haimiliki mpira mnaiangalia ktk angle ipi?
ukisoma vizuri comment ya huyo member niliyemnukuu utapata tafsiri ya aina gani ya soka analolihitaji.
anataka umiliki wa mpira wa dakika 1 hadi mbili

anataka tuwe kama hivi kila mechi bila ya kuangalia mpinzani, kudominate match isiwe dhidi ya under dog pekee
 
Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.

Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?
Mimi ndio nimechanganyikiwa kabisa kwa kilichotokea halafu humu watu wakajisahaulisha makusudi tulivyopitwa wakawa wapo bize kuwananga livapool.....kuja kushtuka pointi kumi tumeachwa jamani inauma hii kitu acheni tu......mi ndio maana kauli yangu moja tu "bado hajafukuzwa tu"......sosha hajakaa kiubingwa kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…