D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Kwa hiyo aliwaelekeza kuzuia tu na si kushinda mechi hatuna kocha pale.Kante na Kovacic hawakua wanamlenga Bruno.
Ole alimuweka Bruno hapo juu acheze nyuma ya Rashford ili kuwavuruga Kante na Kovacic ambao Mara nyingi mashambulizi ya Chelsea huanzia kwao. Na Bruno alifanikiwa hilo hadi hao viungo wakawa wanapoteza pasi.
Na Fred na McTomnay hawa walichezaja chini kutibua mipango ya kina Meson Mount na Zyench au Odoi. Na mipira yote iliyokua inaelekea kwa Mount au Zyench hawa kina Fred waliidhibiti na kuipush Chelsea nyuma kabisa.
Kwahiyo wachezaji wa UTD walifanya kile ambacho Ole alikua kawaelekeza
Kuwaacha hao ni ngumu sababu baily haeleweki tripu shamba tripu gereji...ana mkataba wa miaka 2.
kuwa mvumilivu, tupo kwenye muelekeo bora.
dirisha lijalo tutasajili wachezaji watatu wenye ubora then tunakuwa tittle contender
- no striker, cavan anapewa mkataba mwengine
- jack grealish
- sancho
- beki wa kati mwenye umri mdogo, Ole hayupo tayari kumuacha lindelof na maguire
Mdau james ni mkimbiza upepo asie na faida rashford kamzidi kwenye kufunga ila nje ya hapo ni walewale.....James can run non stop for days but just doesn`t have the quality when he gets the ball.
Ole ni mwalimu mzuri ameweza Ku expose weakness za Chelsea na Tuchel. Tumpe heshima yake ktk hilo. Amekuja darajani na approach na Tactics ambazo zimefanya kz na Chelsea had to suffer the whole first half. Ktk game 9 alizocheza Tuchel hajakutana na kikwazo kigumu km jana. Yaani ata Spurs na Mourinho walishindwa na ata ATM na Simeon walishidwa lkn Ole kafanikiwa sn. Tumpe heshima yake
Hatunaga kocha pale MkuuVitu vitatu vilivyotukosesha ushindi leo:
1. Tumenyimwa penalty ya wazi pamoja na VAR kutumika.
2. Ole Gunnar Solskjaer ni kocha wa kawaida sana, United ina wachezaji wakali ila mpira wanaocheza ni kituko.
3. McTominay katulaza na viatu kama mdogo wake Rashford alivyofanya kwenye game ya Liverpool pala Anfield. Nilitegemea Scott atapiga mpira wa juu kwenye ile counter attack badala yake akapiga chini ukaishia miguuni mwa mabeki wa Chelsea.
Chelsea leo wametuzidi karibia kila kitu uwanjani, ni wazi unaona mabadiliko yao kiuchezaji chini ya Tuchel. Hapa kwa Ole tutasubiri sana.View attachment 1714270
Ngoja tupindue meza ndo utajua hujui mech 12 chochote kinatokeaKati ya vitu ambavyo vingeshangaza duniani ni timu yenye wachezaji akina Wan Bisaka,Martial, Tuanzebe,Fred, Halima Gwaya kuwa bingwa,nisingeangalia tena mpira wa England maishani.
Duuu.....Ngoja tupindue meza ndo utajua hujui mech 12 chochote kinatokea
Mmmh ota mwenyewe mdauNgoja tupindue meza ndo utajua hujui mech 12 chochote kinatokea
Mzee wa "Hajafukuzwa tu?"..Sosha hajakaa kiubingwa kabisaaa kwa alipofikia inatosha sasa afukuzwe tu.....ajae kazi yake ni kutupa makombe tu....imenikumbusha madrid iliyotengenezwa na mou zizou akaja jibebea makombe mpaka akakimbia
Mpaka sasa tungekuwa title contender iwapo recruitment department ingekuwa inatatua matatizo sahihi ya United badala ya kufanya patchwork.ana mkataba wa miaka 2.
kuwa mvumilivu, tupo kwenye muelekeo bora.
dirisha lijalo tutasajili wachezaji watatu wenye ubora then tunakuwa tittle contender
- no striker, cavan anapewa mkataba mwengine
- jack grealish
- sancho
- beki wa kati mwenye umri mdogo, Ole hayupo tayari kumuacha lindelof na maguire
Ndugu yangu acha tu nina mengi sana ya kuandika hapa ila uvivu wangu ndio unaniponza ila kwa alipofikia sosha inatosha sasa mi namshukuru tu kwa kuirudisha timu kwenye mstari full umoja na mshikamano kwa sasa tunataka master of tactician tu wa kumalizia mchezo aliouanza sosha......tunahitaji mtu wa kupambana na ubongo wa pep na klopp full stop.....Mzee wa "Hajafukuzwa tu?"..heshima yako.
Ni kweli tumebahatisha, endelea kukalisha mapumbu huku ukifurahia basi
Hapana, tunamtaka Dada yako
Unawaita waje wakukune huo mkundu sio
Hahahahahaha huh utakuwa ni uwamuzi bora kabisa.Wakuu suala la kumuuza Fernandez Bruno ili tumchukue fundi wa kiingereza Dany Drinkwater imekaaje?