Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Socha atakuwa anafurahi sana saivi kwa haya matokeo ya leicester..
Hata mimi hapa nilipo kidogo nime pumua.
Kilicho baki ni sisi tu kwenda kuvunja daraja hapo baadae, maana anae tunyatia kesha vutwa shati.

Arsenal kwasasa sio mpinzani tena, kiufupi hana madhara, hata akashinda hainishtui.
 
Mourinho ni serial winner. Kutimuliwa ni miongoni mwa mambo yanayomjenga na kumkomaza. Mimi mwenyewe shabiki wake nilitimuliwa kazi siku aliyotimuliwa United. Sasa unategemea nini hapo. Nitawaza kweli Jose kutimuliwa Spurs!
Kwahiyo utamfuata huko aendako?
Mkuu utakufa kwa pressure bure, rudi home kumenoga.
Huyo Morinho hana maajabu yeyote na kuhakikishia, mwisho wa picha utamsikia yuko China, anacheza kareti.
 
Kwahiyo utamfuata huko aendako?
Mkuu utakufa kwa pressure bure, rudi home kumenoga.
Huyo Morinho hana maajabu yeyote na kuhakikishia, mwisho wa picha utamsikia yuko China, anacheza kareti.
Eti karate,


We jamaa leo umeamua siku yangu iwe nzuri


Mourinho mipesa ya China mbona keshaikataa.

Timu yako siichukii ndiyo sababu nataka leo mnipigie hao Chelsix ila wiki ijayo City atawachapa kama kawa.
 
Carlisle huvuna £10K kila mechi Dean akiidakia Manutd lakini hawapati kitu kama yuko kwenye mkopo.

Ni mkataba mnono kwao fikiria kwa mechi wanatia kibindoni Tshs 23, 190, 000/= Mungu awape nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…