Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unapomuondoa mchezaji kama Anthony Martial wakati huna back up ya huyo Haaland itakuwaje Haaland akishindwa kuadapt ligi mapema au akiumia ?
 
Bado hajafukuzwa tu...

Kuna kocha anatengenezewa timu ya makombe pale na sosha yani akija anateleza tu
 
Natumaini leo tutamwona tena Amad, na Mata uwanjani..

Easy game..

=====

My Starting XI

=====

Henderson

Williams Bailly Maguire Telles

Fred Matic

James Mata Amad

Martial

=====
Wao hawana cha kupoteza. Wana mtu hatari Oyarzabal na dogo yule A. Isak ndani ya dakika wanaweZa kuifuta hiyo adavantage ya goli 4 mkaanza kuhesabu upya. Sasa wawekeeni kikosi nyoronyoro muwafaidishe
 
ila muindi muhuni sana kaizarau man u
kampa point mbili 2 leo
daaah
gggm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…