Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Najua leo pia tunaweza tukacheza uopolo cz ndiyo desturi yetu tukifanya vzr mechi moja basi inayofuata itakera, but all in all nategemea ushindi, and last but not least ni kumuona Amad uwanjani, Ole anajua mashabiki wana hamu na dogo leo.
 
Chelsea kombe lao kututoa nafas ya pili watafurahi sana ikitokea
Kama nyie msimu uliopita kombe lenh likikuwanj kukaa juu yetu. Mlifurahi sana
Sisi nafasi ya pili ni uhakika wala hatuna papara nayo kabisa.
Tushasema hapa hii manure chini ya Olesendeka itaendelea kumfukuza mwizi taratibu tu ..zaidi ya hapo hakuna jambo jingine kubwa atafanya huyo bwana
#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Wa 5
 
Yani nyie matakataka bado point tatu tu ..sisi hatuna haraka na nafasi yetu ..mtupishe tufukuzane na City boys nyie mnajishika shika sana tuondoleeni utopolo mbele yetu.
#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kitoabu ndugu yangu ulifanikiwa kuuza simu ili ununue vifaa vya mgodini? Angalia leo usikose kuangalia kipigo kitakatifu kutoka kwa Miamba New Castle.

Kwa wale wa New Castle tujuane mapema kabisa..
Here We Goo

Come on Nu Casto ..kila la kheri..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Jesse Lingardinyo anatakata huko..kamweka mbwatukaji (Jose') chuma cha pili
Goli limefungwa na jesse lingard lakini msherehekeaji mkuu ni ed woodward.
kwa mara nyengine tena ed anakwenda kushinda vita hii aliyoianzisha ya kuwapa mikataba mikubwa wachezaji wanaoonekana kukosa upendo mbele ya nyuso za mashabiki wa manchester united.

kama lingard ataendeleza moto huu wa kufunga magoli hii inaleta tafsiri ya kwamba ed atakuwa na uhakika wa kutengeneza takribani paundi millioni 15 hadi 25 kupitia mauzo ya jesse lingard dirisha lijalo.
 
Jesse' sio kwamba atakuwa free msimu ukiisha?..
 
dakika 7 za amad diallo dhidi ya real sociedad
  1. uwepo wake usituondoe katika njia au mipango ya kutafuta winga mwengine wa kulia, bado namuona ni mchanga sana kwa soka la ushindani la kila wiki.
  2. pia nina wasiwasi mkubwa na umbile lake, anahitaji mazoezi ya kujenga mwili kwa haraka ndipo tuweze kumbebesha majukumu makubwa ya kiuchezaji
  3. amemfundisha rashford namna sahihi ya kuunganisha mawasiliano kati ya mwili na mpira. Mchezaji mwenye sifa kama za kwake ni ngumu sana kuacha mpira njiani, ni ngumu sana kupiga pasi mbovu na pia ni ngumu sana kuingia kwenye mwili wa adui.
  4. Nahitaji kumuona akicheza namba 7 na si 11 ili aweze ku cut inside kama arjen robben
  5. tumesajili mwanadamu mwenye kipaji asilia, kazi ya benchi la ufundi kukiendeleza kipaji hicho
==========
kama anahitaji utajiri wa haraka na ulinzi dhidi ya media abadilishe uraia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…